tembea uone

mpigilie

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
310
136
kumbe hotel zilizopo karibu na mbuga za wanyama zina misosi adimu sana.

leo nilikutana na MENU hii katika moja ya hotel hizo


MENU
1. supu ya mamba...................3000
2. mchemsho wa twiga.............3000
3. wali tembo.........................5000
4. mishkaki ya chui..................2500
5. ugali na roast ya fisi.............4500
6. juice ya mkojo wa punda.......2000
7. chips mayai ya mbuni............3000
8
9
10


good apetite
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom