Tell us about yourself during interview

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,326
5,559
Jamani kwenye interviews nying swali la kwanza huwa ni tellus about yourself. Je watu hawa wanakuwa wanataka ninini hasa?? na ni vizuri utumie mda gani kujibu swali hilo.
 
wanataka kujua kuhusu wewe
ni mtu wa aina gani...
una skills gani zingine ukiacha vyeti..
una jiamini kiasi gani?
una akili timamu? n.k
 
Summary of your professional career na achievement zake, maisha yako ya kikazi baada ya college/university na siyo history/list ya shule ulizosoma kama wengi wanavyofikiria.
Muda wa dkk 3 mpaka 5 zinatosha kutegemeana na post unayoomba.
 
hakuna swali nalijibu kwa mbwembwe kama hili...maaana hapa ndop pa kujipaka maujiko mapka basi maana wao wanakusikiliza tu..ila sasa na wewe usianze my name is kigogo ..iam 13 years old...iam married to mama gaude..aaaaah....piga vitu proffesional ,experience ,why you feel your the most suitable candidate for the post,why you want to work with that company and why do u think the company will benefit by employing you....

Yaani mi nikimaliza hili swali naanza kunywa kahawa huku tunaendelea na mambo ya logframe na mengineyooo

wawejha sana ...
 
Da, watu mnavitu safi sana. Naendelea kukaribisha uzoefu wenu
 
talk very briefly abt urself(half a minute?).then focus on ur experience relevant to the applied post.talk of typical problems that u have solved related to them.try to stick to current issues in the market.dont stress on ur whole cv,they have it on their tables that is why they ar talking to u.make sure uliwajua b4 interview ili uwabane na kuwa-impress.
 
maambo?
Nime kumiss mrembo
 
hakuna swali nalijibu kwa mbwembwe kama hili...maaana hapa ndop pa kujipaka maujiko mapka basi maana wao wanakusikiliza tu..ila sasa na wewe usianze my name is kigogo ..iam 13 years old...iam married to mama gaude..aaaaah....piga vitu proffesional ,experience ,why you feel your the most suitable candidate for the post,why you want to work with that company and why do u think the company will benefit by employing you....

Yaani mi nikimaliza hili swali naanza kunywa kahawa huku tunaendelea na mambo ya logframe na mengineyooo

wawejha sana ...

Thnx kigogo, imekaa njema.,
sasa wat bout sisi ambao ni fresh from vyuoni?? si unajua haya mambo wengine bado hatujakutana nayo, ila soon...
 
Back
Top Bottom