Tell me!

Of course the type of love you are talking here is between a boy and a girl.
Love develops before sex is done and the importance of doing sex is sealing the convenant that there is something between you 2 and everyone becomes sure of the relationship.

Mimi naishi na wazungu na wanafanya kama nlivoeleza kwa hyo tusijidharaulishe maana uafrika unamaanisha heshima ambayo nitazidi kuwa nayo hasa katika swala la mapenzi.
 
YES U CAN....
depends what kind of love..

with love you can live without sex..
 
Of course the type of love you are talking here is between a boy and a girl.
Love develops before sex is done and the importance of doing sex is sealing the convenant that there is something between you 2 and everyone becomes sure of the relationship.

Mimi naishi na wazungu na wanafanya kama nlivoeleza kwa hyo tusijidharaulishe maana uafrika unamaanisha heshima ambayo nitazidi kuwa nayo hasa katika swala la mapenzi.

ahhh umeongea fresh apo pa juu
lakin apa pa mimi naish na WAZUNGU pamekujaje?
wao ndo SI UNIT ya ustaarabu wote?

si wazungu wooote wana practise ulichokisema apo ju
na si waafrica woote HAWAPRACTISE ULICHOKISEMA
SO,I ISSUE NI MAKUBALIANO ..upon M.O.U ya pande mbili..
wapo watu kibao apa tz wanapendana kikweli lakin awajai kuchojoana na wapo wazungu kibao tu wakikutana tu wanarambana thats no SEX NO LOVE BTN US
 
nmekugongea thanx kimoyomoyo cz kitufe cha thanx kimetoweka.
ahhh umeongea fresh apo pa juu
lakin apa pa mimi naish na WAZUNGU pamekujaje?
wao ndo SI UNIT ya ustaarabu wote?

si wazungu wooote wana practise ulichokisema apo ju
na si waafrica woote HAWAPRACTISE ULICHOKISEMA
SO,I ISSUE NI MAKUBALIANO ..upon M.O.U ya pande mbili..
wapo watu kibao apa tz wanapendana kikweli lakin awajai kuchojoana na wapo wazungu kibao tu wakikutana tu wanarambana thats no SEX NO LOVE BTN US
 
Back to the Topic,
Inategemeana mmeanzisha urafiki kwaajili gani!...ingawaje urafiki wowote ule unaweza kuishia kwenye sex!
Kikubwa ni City-Council ya kichwa chako inawazia nini au ina malengo gani juu ya mahusiano yaliyopo!
Kuna watu wanaingia kwenye penzi NA HATIMAYE SEX kutokana na kusaidiana hesabu za linear programming,
Wengine wanaingia penzini kwa kuoneana huruma ya lililotokea!
Wengine wanaanguka penzini kutokana na msaada mkubwa waliopeana!
Bila kusahau kuwa kuna watu wanaanzisha penzi la sex kwa kupitia keyboard za hapa JF!

Penzi huletelezwa baada ya URAFIKI WA KAWAIDA KUWEPO..Hivyo watu serious wanaweza kudhibiti urafiki wao uishie kwenye mpaka wa URAFIKI na SEX!...japo inataka moyo!:A S 465:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom