Tell me what is he thinking?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
200493_139884232822116_74835065_n.jpg
 
huyu nae alijeruhiwa? Kama hakujeruhiwa basi anawaza kitachotokea mbelemi yaani wahusika wote watafungwa kama hizi picha zitakubalika mahakamani
 
Polisi sometimes hawatumii akili. What would have happened endapo wananchi wangeamua kusema mmemwua mmoja, risasi zetu nichache kuliko wingi wetu, yeye huyo si angekuwa wa kwanza kuuawa na wananchi? Hawa jamaa washukuru watanzania sio wakorofi, ila wasieje kujisahau wakawatia watu vidole machoni, it will be too much na matokeo yake watu hawa watapata shida
 
Anawaza hapa cheo lazima, si afande Kamuhanda sijui (sorry kama nimekosea jina) kaniona? hapa lazima nipate nyota ingine!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom