Telex free kimenuka. Usidanganyike !!!!

Hii ni Scam ya nguvu na imeanza na wakubwa hapa nchini kwahiyo ni ngumu sababu za msingi ni kwasababu ya guarantee income wanayoinadi sasa inavutia watu na ni kweli watu wanatengeneza hela lakini kwa garama ya watu wengi watakaoumia hapo ndipo inapofanana na DECI juwa ya kwamba hata DECI wale waliokuwa juu walitengeneza fedha kweli kweli na hapa ni mfano wake. Bidhaa zao ni Voip ( Ambazo sasa unaweza kupata free kama skype, viber na tango plus whatup) kwahiyo kulipa $50 kwa mwezi haina hilo soko, pili ni advertisment ambayo unatakiwa kupost kila siku na malipo guarantee ni 20, 100 au 1400 kutokana na hela iliyoingilia ambayo ni $ 400, $1500 au $16,000 hapa ndipo kwenye questionable practices ambapo hapo ingawa unapewa guarantee hiyo lakini ukweli pesa inatoka kwa watu wanaoingia chini yako maana advertsment hailipi kiivyo kama wanavyotaka uamini maana hata kama tangazo halijanunuliwa wewe utapewa hiyo minimum guarantee income ya hapo juu na likinunuliwa utapewa $44 sasa swali kama halijanunuliwa wewe unapewa hiyo $20 ambayo inatoka kiukweli kwa watu wanaongia chini yako ambao hiyo ndio inaleta kuwa ponziau pyramid scheme kwasababu siku utakapokosa watu wapya wa kulipa ndio mwisho wa mchezo na watu wengi wataumia. Na kitu cha hekima zaidi huko ulipoanzishwa umefungiwa (Brazil) na watu millioni moja na ushee wanalia na kampuni imekata rufaa mara kumi na nne bila mafanikio unaweza kupiga hesabu za haraka haraka ukaona watu milioni hata kama wameingia na $ 400 ilikuwa na cash yakutosha kumbana lakini imeshindwa, swali na msingi wa kumuuliza promoter wako kama ofisi kuu uliyosajiliwa imefungiwa kazi hii hela unayotoa inaenda wapi na nchi gani? na vile vile swali hii ukiwauliza ndio wanakuwa wakali zaidi kwanini bado halijasaliwa Tanzania? jibu lao ni hili mbona makampuni mengi yalianzishwa Tanzania na yakaaa sana bila usajili ndio yakaya kusajiliwa baadaye. Mwisho inayoweka red flag ya nguvu baada ya kufanya kazi hiyo mkataba unaingia nao ni wa mwaka mmoja halafu baada ya hapo kama unataka kuendelea unatakiwa kulipa 20% ya income uliyotengeneza mwaka mzima na hapa kwa kuwa utakuwa umetengeneza hela basi hii utairudisha kwao wataendelea kukuonyesha kuwa unatengeneza ile guarantee income kumbe ni against your own money na unaendelea kuwaeleza ndugu zako na kuwaba udhibitisho wa hela unazoingiza na wanaendelea kuingia wengi katika design hii ndio smart kidonge kwa sababu ukiwa umetengeneza $ millioni unaacha dollar laki mbili inaimarisha mfumo wao wa kula hela zaidi na kuongeza watu.
Nafiriki hii inatoksha
Naomba kuwasiliasha

Thank You.
You Know The Drill Brother !!!
I'm glad u got the whole thing !!! We subiri baada ya muda utakuja sikia vilio tu. I gurantee that !!!
 
Senior boss ,Hapo kwenye red umetumia maneno makali sana,japo muuliza swali sangarara anahoji vitu visivyo na msingi kwenye hoja uliyoleta yenye kuelimisha na kuhadhari watu juu ya kinacho endelea na hizo Upatu.Nawasifu kwa lugha ya wenzetu,lakini ujumbe umeeleweka.

Kuna watu wanaboa sanaaa. Kitu cha kutumia akili ndogo ila unakuta mtu ana complicate mambo sana. Anyway thanks Mkuu !!!
 
kumbe mnaweza kiswahili,nilidhani wazungu wanabishana.

Threads za kukopi google na kupesti JF, utadhani hawajui Kiswahili. Kuna mtu aliniambia ETI matusi ya kiingereza HAYANOGI, so jamaa wamerudi kwenye Kiswahili ili WATUKANANE na KUKASHIFIANA. ila mtoa mada ndio amekuwa na jazba badala ya busara!
 
Hii ni Scam ya nguvu na imeanza na wakubwa hapa nchini kwahiyo ni ngumu sababu za msingi ni kwasababu ya guarantee income wanayoinadi sasa inavutia watu na ni kweli watu wanatengeneza hela lakini kwa garama ya watu wengi watakaoumia hapo ndipo inapofanana na DECI juwa ya kwamba hata DECI wale waliokuwa juu walitengeneza fedha kweli kweli na hapa ni mfano wake. Bidhaa zao ni Voip ( Ambazo sasa unaweza kupata free kama skype, viber na tango plus whatup) kwahiyo kulipa $50 kwa mwezi haina hilo soko, pili ni advertisment ambayo unatakiwa kupost kila siku na malipo guarantee ni 20, 100 au 1400 kutokana na hela iliyoingilia ambayo ni $ 400, $1500 au $16,000 hapa ndipo kwenye questionable practices ambapo hapo ingawa unapewa guarantee hiyo lakini ukweli pesa inatoka kwa watu wanaoingia chini yako maana advertsment hailipi kiivyo kama wanavyotaka uamini maana hata kama tangazo halijanunuliwa wewe utapewa hiyo minimum guarantee income ya hapo juu na likinunuliwa utapewa $44 sasa swali kama halijanunuliwa wewe unapewa hiyo $20 ambayo inatoka kiukweli kwa watu wanaongia chini yako ambao hiyo ndio inaleta kuwa ponziau pyramid scheme kwasababu siku utakapokosa watu wapya wa kulipa ndio mwisho wa mchezo na watu wengi wataumia. Na kitu cha hekima zaidi huko ulipoanzishwa umefungiwa (Brazil) na watu millioni moja na ushee wanalia na kampuni imekata rufaa mara kumi na nne bila mafanikio unaweza kupiga hesabu za haraka haraka ukaona watu milioni hata kama wameingia na $ 400 ilikuwa na cash yakutosha kumbana lakini imeshindwa, swali na msingi wa kumuuliza promoter wako kama ofisi kuu uliyosajiliwa imefungiwa kazi hii hela unayotoa inaenda wapi na nchi gani? na vile vile swali hii ukiwauliza ndio wanakuwa wakali zaidi kwanini bado halijasaliwa Tanzania? jibu lao ni hili mbona makampuni mengi yalianzishwa Tanzania na yakaaa sana bila usajili ndio yakaya kusajiliwa baadaye. Mwisho inayoweka red flag ya nguvu baada ya kufanya kazi hiyo mkataba unaingia nao ni wa mwaka mmoja halafu baada ya hapo kama unataka kuendelea unatakiwa kulipa 20% ya income uliyotengeneza mwaka mzima na hapa kwa kuwa utakuwa umetengeneza hela basi hii utairudisha kwao wataendelea kukuonyesha kuwa unatengeneza ile guarantee income kumbe ni against your own money na unaendelea kuwaeleza ndugu zako na kuwaba udhibitisho wa hela unazoingiza na wanaendelea kuingia wengi katika design hii ndio smart kidonge kwa sababu ukiwa umetengeneza $ millioni unaacha dollar laki mbili inaimarisha mfumo wao wa kula hela zaidi na kuongeza watu.
Nafiriki hii inatoksha
Naomba kuwasiliasha

Tunashukuru kwa kutufikiria na sisi (waswahili) mkuu...dole juu
 
safi sana mkuu, haya ndo mambo tulokuwa tunayataka, umeeleza vizuri mkuu. sio wale wa kucopy na kupaste taarifa bila kueleza ni nini.

cc Sangarara

wengine hatujui hata telexfree ipo tanzania.
 
Last edited by a moderator:
safi sana mkuu, haya ndo mambo tulokuwa tunayataka, umeeleza vizuri mkuu. sio wale wa kucopy na kupaste taarifa bila kueleza ni nini.

cc Sangarara

wengine hatujui hata telexfree ipo tanzania.

Kuna watu walishindwa kuelezea hii kitu kwa kiswahili. sasa inaeleweka kiasi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom