Telegraph From Iddi Amin Dada kwa Nyerere Kisa cha Vita ya Kagera?

Ww hujui historian kasome kitabu kinacho itwa the guardian angel by anorld bisase ndio utajua IDD amin alikua MTU Wa namna gani.nyerere ndio alikua anataka kumurudisha mgalatia mwenzake.nye mnajifanya mumesoma hamjui historia
 
Amin alikuwa katili wa kutupwa,wanajeshe wake walipoteka eneo la minziro na missenye waliua watu wengi wasio na hatia na kwa vifo vya mateso kama kuwachoma na miti iliyochongwa,wakati wale watz walipoiteka uganda walifanya uungwana.na ile vita ya mwaka 72 nayo je,kama kweli vita ya mwaka 78/79 haikupaswa kupiganwa.Ni heri gharama aliyotuingiza nyerer kulinda heshima yetu kuliko huu ufisadi ambao hauna heshima wala malengo yoyote na faida kwa taifa.

Wananchi hao walipohojiwa na Mtangazaji wa RTD walisema askari wa Amini waliwaowa na mwingine alipigwa mpaka mdomo ukamwagika.
 
Imagine wewe ni mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi nyingine anakutukana kiasi hicho na ukanyamaza eti ni vita binafsi...kwangu haiingii akilini. Nitampiga na wananchi wangu watanisupport kuondoa dharau kwa kiongozi mkuu wa nchi.

Yale maneno ya kagame kuwa jk anaongea uttermost nonsense hayakuwa matusi?
 
Iddi Amini hakuwa na kitu kichwani. Uliotisha ulikuwa mdomo. Maamuzi yake mengi yalikuwa ya ajabu ajabu kwa hiyo kwa hakika hakuwa na uwezo wa kushinda vita ukizingatia hakuwa na sapoti ya kutosha toka ndani ya uganda yenyewe.

Kwa kifupi angekuwa na akili asingekuwa na maneno ya namna hii

Well said mkuu
 
Kweli huyu jamaa alitudharau sana lakini nilichompendea ni hiki hapa!

Idi%20Amin7.jpg


Na hii hapa!

Idi-Amin-Dada.jpg

In reality Hakuwaadabisha wazungu, only individuals. Tu ndio aliweza kuwahenyesha. Ndio maana hakuna taifa la wazungu lililoota ama kufikiria kuja kufanya vita na amin. Amin Alitaka Israel imsujudie alipokalia mateka wao pale airport Entebbe, hata hivyo hakufanikiwa baada ya Israel kuwaokoa. Sababu ni kuwa Israel ilimchomolea mpango wake wa kuiadabisha Tanzania, ili Ku-retaliate akaamua kuwasapoti magaidi wa kipalestina.waliokuwa wamefikia nchini kwake.

Kimsingi "Dada" ni Kama hakuwa na direction ya nini afanye katika taifa lake. Alikuwa amelewa madaraka. Only racists will be happy with this.
 
Back
Top Bottom