Telegraph From Iddi Amin Dada kwa Nyerere Kisa cha Vita ya Kagera?

Kumbuka pia alikuwa na roho ya ubinaadam pia. Yupo mwandishi wa habar wa Tz aliyekuwa anaandika mabaya sana juu ya Amin na serikali yake. Ilitokea akakamatwa na kupelekwa kwa Amin na Amin alimuuliza'ww hivi nje ya hayo mabaya,hakuna mazur yoyote nliyofanya?' Jamaa akajibu 'yapo'. Akaambiwa ss nakuachia nenda kwen Tz kayaandike hayo mazur yangu na ikawa ndo pona yake na yy alitarajia angechinjwa

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Kweli huyu jamaa alitudharau sana lakini nilichompendea ni hiki hapa!

Idi%20Amin7.jpg


Na hii hapa!

Idi-Amin-Dada.jpg

Hahaaaa kwa hili alikuwa jembe sana ila viongozi wa Ug wanajiamini sana
 
Source yake ni nin.napo idd alikuwa na dharau sana.ebu fikilia km zile vulugu za mbagala na kaliako angekuwepo mkapa madarakan asingevumilia pia namin ht huo ujumbe ungemkuta kipindi cha mwalimu laziba tu angemuadhibu.ona jk pamoja na0matamko alishindwa kuzihilisha nguvu ya dora



0


0


0

Du ndugu yangu hivi kiswahili ndio wale div 5 kaliakoo badala ya kariakoo fikili badala ya fikiri?
 
WB...1dollar was equal to 5 Tshs

Mwandishi wa kwanza alisema hivi:

Nimejaribu kuisoma na kutafakari hii telegraph(Simu ya Maandishi) ... na nimejiuliza maswali bila kupata jibu je inawezekana ilimuudhi sana j.k Nyerere(r.i.p) hadi akaamua potelea mbali kama vita ipigwe na aonekane na Mwanamume! nchi haijasiamama hadi leo hii Dollar ya mmarekani ilikuwa haipishani na Shillings Yetu....

[END OF QUOTE]

Kuna mambo mawili yanayojitokeza.

La kwanza ni kuwa siyo kweli kuwa Shs 5 zilikuwa zinanunua dollar 1 ya Marekani. Miaka ya 70 kabla ya vita Shillingi sita na kidogo zilikuwa sawa na dollar 1 (Tsh 6.20). Baada ya vita ilipanda na kuwa Shs 7 na kidogo.

Pili, katika mambo ya uwiano unaweza kusema lolote lile. Kwa mfano, 1 ni karibu na 1,000 kuliko 1 na 10,000. Lakini sidhani ni sawa kusema 1 na 1,000 havipishani sana. Kwenye mambo ya pesa ndiyo kabisa, kwani hata point moja tu kitu kikubwa.




 
Imagine wewe ni mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi nyingine anakutukana kiasi hicho na ukanyamaza eti ni vita binafsi...kwangu haiingii akilini. Nitampiga na wananchi wangu watanisupport kuondoa dharau kwa kiongozi mkuu wa nchi.
Kuna watu wanafikiri mkuu wa nchi sawa na baba mwenye nyumba akigombana na jirani wao wanaingia vyumbani kulala!
 
Kumbe vilikuwa vita vya kibinafsi! vikituacha wengine kulipia hadi leo hii,achilia mbali waliomwaga damu zao, walioachwa wajane, watoto walioingizwa katika uyatima...
Amin alikuwa katili wa kutupwa,wanajeshe wake walipoteka eneo la minziro na missenye waliua watu wengi wasio na hatia na kwa vifo vya mateso kama kuwachoma na miti iliyochongwa,wakati wale watz walipoiteka uganda walifanya uungwana.na ile vita ya mwaka 72 nayo je,kama kweli vita ya mwaka 78/79 haikupaswa kupiganwa.Ni heri gharama aliyotuingiza nyerer kulinda heshima yetu kuliko huu ufisadi ambao hauna heshima wala malengo yoyote na faida kwa taifa.
 
[h=1]10 Popular quotes by Idi Amin[/h]Idi Amin Dada was the third President of Uganda, ruling from 1971 to 1979. On this day (2nd Feb 1971) in History. Amin declared himself president of Uganda. Below are his favourite quotes


1. "I am not a politician but a professional
soldier. I am, therefore, a man of few
words and I have been brief through my
professional career."


2. If we knew the meaning to
everything that is happening to
us, then there would be no
meaning.


3. In any country there must be
people who have to die. They
are the sacrifices any nation has
to make to achieve law and
order.


4. I am the hero of Africa

5. My mission is to lead the country
out of a bad situation of
corruption, depression and
slavery. After I rid the country of
these vices, I will then organize
and supervise a general election
of a genuinely democratic civilian
government.


6. Politics is like boxing - you try to
knock out your opponents.


7. I'm a good Muslim and I'm only
interested in Islam


8. I myself consider myself the most
powerful figure in the world


9. Although some people felt Adolf
Hitler was bad, he was a great
man and a real conqueror whose
name would never be forgotten


10. You cannot run faster than a
bullet


Other quotes

"I am not a politician but a professional soldier. I am, therefore, a man of few words and I have been brief through my professional career."

Idi Amin, president of Uganda, from his first speech to the Ugandan nation in January 1971.

"Germany is the place where when Hitler was the prime minister and supreme commander, he burned over six million Jews. This is because Hitler and all German people knew that Israelis are not people who are working in the interest of the world and that is why they burned the Israelis alive with gas in the soil of Germany."
Idi Amin, president of Uganda, part of a telegram sent to Kurt Waldheim, UN Secretary-General, and Golda Meir, Israeli premier, on 12 September 1972.

"I am the hero of Africa."
Idi Amin, president of Uganda, as quoted in Newsweek 12 March 1973.


"Sometimes people mistake the way I talk for what I am thinking. I never had any formal education -- not even nursery school certificate. But, sometimes I know more than Ph.D.'s because as a military man I know how to act, I am a man of action."
Idi Amin, president of Uganda, as quoted in Thomas and Margaret Melady's Idi Amin Dada: Hitler in Africa, Kansas City, 1977.


"I do not want to be controlled by any superpower. I myself consider myself the most powerful figure in the world, and that is why I do not let any superpower control me."
Idi Amin, president of Uganda, as quoted in Thomas and Margaret Melady's Idi Amin Dada: Hitler in Africa, Kansas City, 1977.


"His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular."
The titles that Idi Amin, president of Uganda, gave himself, as reported in "A Clown Drenched in Brutality", Sunday Times, 27 July 2003.



 
Mengi yatazungumzwa
Nakumbuka mimi niliondokea Arusha
na Basi la mama Maeda (K.B.S)
Tulifika Kagera tayari maelfu ya watanzania alisha angamizwa na huyu jamaa.
Actually alishavuka mto Kagera mabao kimsingi ilitakiwa iwe ndio mpaka.
manake mpaka leo jamaa wa pale wanongea kiganda,bidhaa za uganda
fedha ya uganda radio ya uganda
shule ya uganda etc.
Uncle zangu wa 5 walipotelea katika vita hii.
Mmoja tulirudi nae tunakunywa na kuvuta ile kitu.
tkiimba
wazaaaazi wazazi wetueeee
 
Back
Top Bottom