Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

nimeeka link ya site ya telegram bado unataka tubishane?

na kinachozungumziwa hapo sio unachokiona kwenye gallery bali kinachobaki kwenye server ya telegram. kikibaki kwenye simu yako unastahiki sababu ni chako ila wakibaki nacho wao ndio maswali yanapoanza
Heshima yako mkuu
 
haya sasa na watsap wameazisha end to end security encryiption now all your charts are secured...haina haja ya kuchagua secret chart wal nini all time you are secured!! hapo vip
je telegram ni bora mara 10 kwa watsap....? hizi technology sio za kuweka guarantee kila siku zinabadirika

japo kama watsap anaiga iga vile, sababu mwanzo alikuwa hatumi document sasa anatuma, hili la end to end na yeye yumooo... tusubili hilo la bots na channels ...

Forget Apple vs. the FBI: WhatsApp Just Switched on Encryption for a Billion People
 
Waaa mkuu vipi bana si hio ni kama kuwaalika Fbi kwako jamani... Sitakusaidia lkn ukifanya bidii utaipata
 
well telegram wapo vizuri kwenye kila angle kulinganisha na whatsapp. ni apps bora sana kwa security maana waweza fanya secure chat na mtu na bado watu wasiweze kukudukua maana ina end to end encryption. Whatsapp wapo mbele kwa sababu walitangulia tu, nothing else.

Now whatsapp anamuiga telegram..ameongeza end to end encryption + kusend doc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom