Teknolojia ya usafiri yavumbuliwa na Wanafunzi wa TZ

kayundi2

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
210
21
Huu ni uongo mkubwa, ivumbuliwe vipi? wakati ipo inatumika kwa milongo kadhaa hivi sasa
 
hiyo ndio tanzania akigundua jambo anajiona ndio wa kwanza duniani
 
tumekuwa tukiitumia hii hata kabla wao hawajagundua. ila nawapongeza kwa kutafuta hadi kuipata waliyokuwa wamevumbua wenzao muda mwingi uliopita.
 
Back
Top Bottom