Teknolojia ya kumfufua binadamu aliyekufa...

Ahahahaaaaaa....jamaa ni mweupe sana kichwani...sema anapenda ku_socialise kwenye mitandao ya kijamii...lakn hana upeo wa kuchangia hoja za hili jukwaa...namshauri aende mmu.


mkuu huyu jamaa mweupe kabisa anabishana tu pasipo na hoja aliponichekesha anakwambia sayansi ni ushirikina waafrika bana kazi ipo.
 
na ukiamini sana sayansi na ukaingia deep kivitendo! utajikuta mwishowe ni mshilikina na mnaaza kuungana na wachawi kuendelea kutafuta! sayansi hiy hiyo mwisho wake lazima utamwona shetani!maana wewe unaijua sayansi hii tuu lakini sayansi imegawanyika sana! hata magician wanaita ni sayansi! sasa kazi kwako! katika imani!


we jamaa umenivunja mbavu sijui upo sereous au unatania hahahahahaha.
 
Kampuni ya Huamai iliyopo marekani Los angela inampango wa kufanya ufufuzi wa mtu aliyekufa. watafiti wana mpango wa kumfufua mfu kwa kugandisha ubongo wake halafu wanamtengenezea akili bandia(artificial intelligence). Humai technology wanataka kulitimiza hili kwa kufanya project yao iitwayo "Atom & Eve" ambayo itaiwezesha ufahama wao (consciousness) kuhamishiwa mwili bandia baada ya kufa kwao. Watafiti hao wanataka kufanikisha haya kwa kutumia teknolojia tatu ambazo ni bionics, nanotechnology and artificial intelligence

kwa taarifa zaidi :

Researchers plan to bring dead to life by freezing their brains and then resurrecting them with artificial intelligence

Bringing the dead back to life is futuristic and final frontier of science and Humai is working on just that. Humai is a technology company based in Los Angeles and is working on a project known as “Atom & Eve” that would let human consciousness be transferred to an artificial body after their death.

The artificial intelligence company has said it can resurrect human beings within the next 30 years. The “conversational styles, [behavioural]patterns, thought processes and information about how your body functions from the inside-out” would be stored on a silicon chip through AI and nanotechnology.

Humai researchers are banking on three technologies – bionics, nanotechnology and artificial intelligence – to achieve their goal of bringing the dead back to life and they feel that it will take around three decades for them to achieve this goal.

The founder of Humai, Josh Bocanegra told the Australian Popular Science: “I accept death, I’m not afraid of it that I’m not 100% sure I’m going to die one day.” While their Facebook page states, “Will death always be inevitable? We don’t think so.”

Bocanegra told Australian Popular Science that the brain of the deceased will be frozen using cryonics technology so that when the technology is fully developed they can implant the brain into an artificial body.

Humai says that bringing a body back to life won’t be easy, or cheap. It’s not known how the brains would be harvested, or for that matter, how much it would cost to bring someone back from the dead. Bocanegra says,”Using cloning technology, we will restore the brain as it matures”. “I don’t think of it as fighting death. I think of it as making death optional. I personally cannot imagine why someone would want to die, but I respect everyone’s wishes,” Bocanegra adds.

The most astonishing fact about Humai is that it consists of only five members. Two of them are researchers, one is the ambassador and an AI expert.

Should we be playing with the nature and bringing back the dead? Do put in your views in the comments section


A technology that can bring dead back to life might be a reality soon » TechWorm
Humai wants to resurrect the dead with AI, cloning and nanotechnology – but is it real?
mambo ya frankenstein ayo, wafute kauli yao waseme robot yenye umbo na mwili wa mwanadam
 
Huko ni kutaka kumsahihisha Mungu,, wanafkir kitu ambacho kiko beyond their ability and capability,,, ts totally kumfufua MTU kwa technology may utumie other powers
 
Kwa hyo mkuuu wewe umekuja baada ya wazazi kufanya majaribio,, stop kdn ur parents walikuwa na uhakika KBS kwamba utazaliwa
 
Hao wanafufua au wanaunda CYBORG? Maana suala la kufufua hata tukusanyike viumbe vyote mbinguni na ardhini HATULIWEZI.
 
Binafsi Siamini kama watu watano tu,wanatosha kukamilisha Project kubwa kama Hiyo,tena ndani ya miaka 30 tu?

Ubongo wa mtoto mchanga tu,una uwezo sawa na super-computers zaidi ya 100,000
sasa Silicon chip ndogo inaweza kweli kuhifadhi kumbukumbu zote za mwanadamu kama ubongo?
Bado hawajanishawishi kwa kweli.Loh!

Kwanza equation ya idadi yao imegoma, nimehesabu na kukuta ni wanne tu! Kwanza tuelewe maana ya kufa na features zake pamoja na zile za uhai ndipo tuelewe vizuri wanachotaka kufanya. Kwa haraka haraka mimi naona huko sio kurudisha uhai bali ni kutengeneza robot kutumia memory ya aliyekufa. Kwa mwili wa asili haupo huo ni uhai wa aina yake na wala sio huu wa asili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom