redSilverDog
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 470
- 76
Hilo ni kweli. Lkn, mkuu, hebu jiulize ni kwa kiasi gani ICT na sekta nyingine zinaathiriwa na huu mgao wa umeme? Ni kwanini mawasiliano ktk sehemu nyingi za Tz bado ni suala la anasa? Unahitaji nini, kwa mfano, ili server yako ifanye kazi kiufanisi? Je, ulishawahi kusikia khs Google, ambao ni mojawapo ya wadau wakubwa wa ICT, kuwekeza ktk nishati m'badala? Unafikiri ni kwanini wameamua hivyo? Sikupingi, ila najaribu kuhoji khs teknolojia mama.
Mimi hapo sikupingi, na ndo kilio changu kwamba lazima umeme wa kutosha uwepo. Ukifuatilia signature yangu ndo movement yetu hio.
na mm naendeleza ubishi nyie watu ict sio potential kwa ukombozi wa tanzania utashi wenu umetawaliwa/unaongozwa na wanasiasa wasio na elimu ndio mana idara nyingi za serikali zinaendeshwa kianalog kuanzia serikali za mitaa,halimashauri na maofisi mengi sana ya serikali
naamini tukikaa tukaja na appropriate methdologies tutawalizmisha wao kutufuata sisi. we shud not under estimate the power we got, ICT can be a driving force..