Teknolojia inapoingia kijijini

shiumiti

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
435
19
Teknolojia inapoingia kijijin kwa mara ya kwanza...mjumbe/balozi wa nyumba kumi ndiye wa kwanza kutumia...... KAZI KWELI KWELI
 
Siku ingine basi muitumie vizuri hii teknolojia, bandikeni picha na si kutuwekea thumbnail, namna hii:

attachment.php

 
duh!hayo manyonyo ya bibi yako inaelekea babu hana mchezo,mana kayamaliza yamebaki mamikamba 2
 
Eti huyo ni Mangi sina, kama alivyochukuliwa picha na malaika akiwa peponi
 
Ao jamaa wanavyoishobokea hiyo skrini wanaonekana lazma walikuwa wanaangalia jukwaa la picha (yaani Jamii Photos) alafu wakajishtukia picha yao iko huko. Kudaadadeki!
 
Back
Top Bottom