Teh, teh..

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Nimejicheka nilipokumbuka siku moja nilipokua darasa la kwanza nilifuta sehem niliyokosea kwenye daftari mpaka pakachanika! Unajua nilifutia kwa kutumia nini? Teh, teh..
 
ulifutaa sanaaa na penseli mpaka ile sehemu ya kifuto kikaisha na pakabakia ile sehemu ya kachuma na ikachana karatasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom