Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Jamaa watatu walikodisha hoteli ya ghorofa 60, wao wakapata ghorofa ya mwisho kabisa, wakapanda kwa lift na asubuhi wakashuka kwa lift, jioni walivyorudi wakakuta umeme umekatika wakakubaliana wapande ngazi kwa stori, wa kwanza apige za kutisha kuanzia ghorofa 1-20, wa pili kuchekesha kuanzia 21-40, wa tatu kuhuzunisha kuanzia 41-60, wakapanda walivyofika ya 59 yule wa tatu akasema hii ndo ya kuhuzunisha zaidi, TUMESAHAU KUCHUKUA FUNGUO PALE RECEIPTION!!