Teh teh teh,atimae VODACOM wameufyata mkia kwa YANGA!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Waambiwa wachague nembo ya kudumu kati ya.
Njano,kijani na nyeusi.
Wasema walikua hawajui kama rangi hizo ni utambulisho wa mwafrica na africa.
1.Kijani-sura ya africa.
2.Njano-Madini
3.Nyeusi-Mwafrica
 
Nawapongeza VODACOM kwa kutumia busara na kuepusha makanisa mengine kuchomwa moto.
 
Yanga for african mi ananifurahishaga sn mze akilimari, yanga africans msimamo A
 
Back
Top Bottom