TEDET nayo ni kama DECI?

Mimi hii kitu nimeisikia kwa ndugu zangu walioingia huko. Nilikwenda Rufiji kwa shughuli binafsi nikaambiwa hiyo TEDET haimiliki hayo mashamba ambayo watu wanaonyeshwa. Wakazi wa Wilaya si wanajua wamililki wote wa ardhi an miradi ya maendeleo iliyopo kwenye eneo lao lakini huu hata wakazi wa Rufiji wenyewe hawajui.

Nadhani hawa jamaa wanatumia style ya Deci ya kutoa matumaini ya faida nono. Wizara ya ardhi na kilimo zitoe tamko, uongozi wa wilaya nao utoe tamko.

Waandishi wa habari mpo? fatilieni hii kitu na muiweke hadharani jamani, Unjua watanzania mafisadi wametudhurumu sana, kila mtu anatamani maisha mazuri, ndo maana akitokea mtu mwenye kutoa matumaini hata kama ni badnia wengi hukimbilia huko, lakini kama mtasaidia kuweka wazi hili, mtaokoa fedha za watu wengi wanao endelea jiunga huko, ila kama ni kweli basi pia mtasaidia wengi kufaidika na hilo. Fatilieni na mtusaidie

Asanteni sana kwa mlio toa maoni yetu, hata hivo mwenye data zaidi tuna zisubili kwa hamu.
 
mimi niko na wanaotaka kulima,kuna ardhi yenye maji kibao hapo Kiparang`anda au Isele au shungubweni,au malela yote ndani ya mkuranga,ina maji na rutuba,usafiri toka Mbagala ni daladala kwenda na kurudi,wenyeji hawana noma kabisa, ardhi ya kujikatia tani yako. Shida ni kwamba wengi tunapenda kilichoanzishwa na mwenzio.

Ardhi ya Rufiji italeta machozi kwa walalahoi muda sio mrefu. Hawa jamaa tusubiri wakati tu,tuone.
 
Mkuu asante kwa maoni, bado nawaalika wakuu wenye data zaidi, lakini pia ombi kwa waandishi jamani ibueni mambo kama haya kwenye vyombo vya habari nyumbani, ili kama ni ulaghai ushughulikiwe mapema
 
Kweli hii ni DECI nyingine! Niliwahi kwenda ofisini kwao nikapata maelezo lakini baada ya kufikiria sana nikaona haiwezekani. Fikiria kama watu elfu kumi wakijiandikisha itakuwaje? Kwa maana kila mtu atakuwa alocated hiyo eka 5 jumla itakuwa eka 50,000. sasa huko rufiji kuna eka 50,000 elfu kweli???
 
Mkuu eti maelezo yao yanasema wameisha pewa heka 150,000 huko rufiji!. Ila kilicho nistua jmaa kanambia kwamba kujiunga sasa hivi dau limepanda ni 750,000 na wabongo wanazidi kumiminika kama kawa! Jamani wahusika saidieni kuliweka wazi hili, hasa waandishi wa habari tuna wategemea sana, hili mkifanyia kazi kidogo tu ukweli wake utajulikana.
 
Dr. Haji Mugishagwe ni engineer aliekaa finland muda mrefu, alikuja Tanzania wakati ule alipata some sponsors wakamuahidi kumpa ndege, akataka kuanzisha shirika lake la ndege na aligombana na mwalimu wakati ule kwani haikuwa inaruhusiwa kuwa na private air company, akarudi na style mpya, mnakumbuka OKO? ile ya kuziba matairi in the 90's, yeye ndo alileta ile na baada ya mradi ule kufa ndo akaanzisha TEDET, ana views nyingi za kutaka kuondoa umasikini, his views in 2002 was "removing poverty by year 2010" baada ya kukosa misaada ya kutosha amebadilisha to i think 2015,

hizo rudidea and the likes zote alizianzisha yeye (mugishagwe) na ndio anazotumia kuandika papers kwa kuomba funds toka kwa donors kama Finish Embassy, (wameshampa funds mara kadhaa) dutch embassy na wengine.

there is only one problem with this guy, TEDET ni like his personal property, and he is everything, from finance to administration, ni mtu wa kujigamba sana, na matumizi mabaya ya funds, wasi wasi wangu ni kuwa kwa kuwa yeye ndio anahandle all the funds za organisation and the final decision maker, basi pesa za watu kweli zitaishia zote kwenye zipu yake kwani kwa ukweli iko loose sana especially akiwa na funds bank.

huwa anafika ofisini saa tano asubuhi so kama kuna any official decision inatakiwa kufanywa basi inabidi kumsubiri muda huo ndo kazi zianze.

any way ni kidogo tu kuhusu mugishagwe, na by the way nilianza kufahamu TEDET muda mrefu, ilianza nahisi 98 if not 99, walianza na shughuli za uvuvi, na ndo alikuwa anapata funds toka finish embassy on those na baadae kuamua kuingia into kilimo in 2002. wapo masasi house ghorofa ya nne.
 
Mzee mzima, asante kwa data, ila duu? mbona zinatisha na kuchanganya? Kwamba ipo toka 98? ina maana kama ina u "DECI" ndani yake mamlaka husika zinafanya nini myaka yote hiyo?

Kama walivo amua kushugulika na watu wa DECI ama wale wa PUF... wale wa manzese kwanini wasichunguze vitu kama hivi? Kwasababu inastua sana kwamba kadri muda unavozidi songa kiingilio kina zidi kupaa hadi sasa kina karibia milioni! na wabongo tulio choka mbaya tunazidi kimbilia huko kwa tumaini la kujikwamua kutoka katika lindi la umaskini!

Naamini ni wajibu wa serikali kulinda raia wake na mali zao na kufanya chunguzi za vikundi vyovyote vile ambavyo vina nia ya kudhurumu wananchi wake! Na je hayo makusanyo ya mamilioni anayalipia kodi?
 
kuhusu kiinglio na mimi nimekuwa shocked kidogo, kwani alianza hii habari ya kilimo 2006, na kiingilio by then was 200,000, sasa kama imefika 500,000 inaonyesha kuwa amepata watu wa kutosha na ameamua kuongeza ili apate fedha zaidi, kweli inatisha.....
 
Kuna Umuhimu CHADEMA wakaliangalia kwani nahisi ni DECI fulani hivi
 
Mimi laki tano yangu nabaki nayo. Siamini kabisa katika faida kubwa hivyo katika muda mfupi.
 
Back
Top Bottom