MU-ARSENAL
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 956
- 595
Sema hawa Jamaa tecno wako vzur sana kweny batteryHata waje vp, hiyo brand situmii. Mimi na samsung. Nikitoka hapa naenda level nyingine.
Sema hawa Jamaa tecno wako vzur sana kweny batteryHata waje vp, hiyo brand situmii. Mimi na samsung. Nikitoka hapa naenda level nyingine.
AbsolutelyKwa simu zinazokaa Na chaji muda mrefu tecno Wapo juu.. Mimi natumia tecno boom j 8...Ctamani simu nyingine
Hawa Jamaa tecno wako vzur sana kweny battery cjaona smart phone inayoweza compete nao.. Ctaki Samsung Galaxy wala iPhone wala xperia.kwaio tunaionea wivu TECNO?kweli jamani?
wewe si mzima hata,nina mashaka mitambo haifui..
GTA Auto Theft Vice City inapatikana kwenye play store kwa $4.99 ina 1.5GB capacity, unahitaji reliable wi-fi kwa ajili ya kudownload, vile vile kama hutaki ya kununua unaweza kuitafuta apk file kwenye search ya GoogleMkuu napataje hizi gta za simu niweke kwenye galaxy s6!? Vp ukubwa wake bundle niandae gb ngapi mkuu !?
Natanguliza shukrani
Leo tecno wamezindua simu ya tecno phantom 6 na tecno phantom 6 plus ya mp 21camera ya mbele
Naona unaongea vitu usivyo vielewa...yani htc,lg,Samsung wanatishika na tecno?hata kama wewe ulitegemea lini nokia atafulia
au black berry
techno kaanza mwaka gani katika smartphone na leo sumsung lg htc wanatishika ujio wake kwanza anawapiga gap bado iphone tu sumsung anatoa simu mwezi mmoja anairudisha tena kuitengeneza sio kuchoka huko
..achana na Huko,nenda Pirate Bay alaf download apk Yake Bila Hela YoyoteGTA Auto Theft Vice City inapatikana kwenye play store kwa $4.99 ina 1.5GB capacity, unahitaji reliable wi-fi kwa ajili ya kudownload, vile vile kama hutaki ya kununua unaweza kuitafuta apk file kwenye search ya Google
kukaa na chaji wakati ina perfomance duni kuna maana gani sasa. wangejitahidi kwa vyoteKwa suala la kukaa na chaji muda mrefu tecno hawana mpinzani..huo ndo ukweli..!
kukaa na chaji wakati ina perfomance duni kuna maana gani sasa. wangejitahidi kwa vyote
Sisi hatukataia tecno kuwa upande wa masikini.ilaNimekuelewa vzuri.... Tuuh... Iko hv kwa vgezo vyakitaalam uko sahihi ila kwa vgezo vyakimazingira bado sijakuelewa. Kwa mfano... Technolojia ya mawasiliano ya kimtandao ya 4g na 3g ni tofauti lakini halotel wanaotumia 3g kwa hapa bongo na tigo wanaotumia 4g nani anafanya vizuri.... So pamoja na hayo yote kwa utunzaji wa charge tukubali tukatae Tecno anafanya vizuri pamoja na kutumia technology xilizokwisha kupita. Kuhusu ukubwa na udogo wa pxr bado kimazingira trcno yupo vzuri nikiwa na maana anatumia pxr kubwa kwa eneo dogo, dsplay. Kuhusu sensor wanazidi kuimprove, tatizo nililoliona kwao ni maisha ya device zao hayaishi vzuri ndio mana ni agharabu sana kumkuta mtu anatumia tecno iliyochoka na ikaendelea kufanya vizuri kama ilivyokuwa mpya,ila tukizishjndanisha zikiwa zinatoka ktk box tecno atawakimbiza wengi tuu hasa upande wa kutunza chaji....... Bei yake huwa juu kwa muda mfupi tuu so ndio maana zinautwa mkombozi wa maskini.. Yani ya laki 3 baada ya miezi mitatu minne utaichukua hata kwa nusu bei yake ndio maana wanazidi kukurupuka kutoa device zenye mabadiliko makubwa kila mara , unaweza kuta huduma iliyokuwa inapatikana toleo la nyuma haipo ktk toleo jipya mara ukaikuta tena ktk toleo litakalofuata... So ktk simu zenye majina sana hapa bongo,kwa huduma zisizo na uhitaji wa uelewa mwiiiingi na zisizo na usumbufu... Tumpe tecno haki yake japo ananyongeka.....
na hapo bado iko kwenye laki moja, ikifikia kwenye laki mbili inaandika unfortunately charging has stoped.kuna mtu hapa ana c8 haina miezi hata miwili kila akiopen apps zina crash zenyewe!!!
Na ya nyuma ni ngp cameraLeo tecno wamezindua simu ya tecno phantom 6 na tecno phantom 6 plus ya mp 21camera ya mbele
s6 ni nzuri tena sana kulinganisha na hao wawili, inatumia storage za ufs ambazo zinafanya simu iwe na speed. sema ndio battery haitoki na haina memory card.Chief nishauri kidogo hapa,,,,nahitaji kununua simu kati ya samsung note 4,samsung s6 na lg G4.nikimbilie ipi????