Tecno sasa inapokea Updates

ndani ya hilo file ulipofungua umekuta nini na nini? huwa kikawaida apps ambazo zipo cracked zinakuwa na apk na data zake.

1. unatakiwa uinstall hio apk
2. unatakiwa ucopy data ziende folder la android/obb

maelezo zaidi yatakuwa website uliodownloadia hilo file
a1d2f83a95f76a6d40a0a6234ea79d58.jpg

inaonyesha hvyo
 
Unaelewa maana ya updating mkuu???? Hiyo siyo update, hiyo ni issue tu ya kufix bugs na mambo fulani madogo madogo. Kureceive update maana yake simu iwe na uwezo wa kuhama kutoka version moja ya android kwenda version nyingine pindi ikitoka version mpya kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa tecno kamwe!!!
 
Unaelewa maana ya updating mkuu???? Hiyo siyo update, hiyo ni issue tu ya kufix bugs na mambo fulani madogo madogo. Kureceive update maana yake simu iwe na uwezo wa kuhama kutoka version moja ya android kwenda version nyingine pindi ikitotoka version mpya kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa tecno kamwe!!!

Ha ha ha kwanza mkuu tecno hata hizo fixing ya bugs awali ilikuwa haipokei, ukipata simu ina matatizo basi hakuna jinsi unakufa nayo.

Lakn habari njema nikuwa tecno C8 kwa mara ya kwanza officially tecno wametangaza kuipa uptodate mwezi ujao ya iyo OS mpya ya android marshmallow kama sikosei.
 
nimefatilia huu uzi as if nafatilia movie, sterling ni chief mkwawa.
nashukuru sana kwa elimu yako kwetu, wengine tulikuwa na upeo finyu sana kuhusu simu,
pia wana wale wataalamu mnaodebaitiana na chief mkwawa nawashukuru, keep it up
 
vitu vizuri vya hio simu
-ina ram 1gb
-inapokea updates na itaenda windows 10
-bei yake rahisi sana unaipata hadi 150,000 ukiitafuta vizuri.
-ipo smooth muda wote sababu ni windows phone, na itakaa miaka mingi bila kuwa outdated

vitu vibaya vya hiyo simu
-processor yake ni ndogo na haina 4g
-camera yake ni 2mp tu
-baadhi ya games na apps haina sababu inatumia windows phone

ushauri wangu angalia kwanza kama utaipenda windows phone, kama kwako ni ok ni simu nzuri sana hasa kwa budget hio ya 150,000 ikiwa mpya.

ila kama unaweza kuongeza budget around 200,000 hadi 300,000 tafuta simu ya snapdragon 410 utapata simu nzuri yenye 4g, processor nzuri ya 64bit, gpu nzuri, ram kubwa nk mfano wa simu hizo ni kama
-galaxy core prime,
-huawei y550,
-motorola moto E lte,
-xiaomi redmi 2
Mkuu, vipi kuhusu x-bo v6?
 
copy hilo folder la com.theonegames.g kwenda android then obb halafu lipaste hapo then install apk yako (nafkiri hio iliondikwa mod ndio ina cheat) then utaona game linaanza bila kudownload data
Thanks chief,ila nlkua nakuulza et sim ikikaa mda mref bila kutumika inaharibika?,coz nna mpango wa kwenda boarding simu natak kuiacha nyumban
 
Naona mnavimbishiana misuli tu... Sioni mnachofaidi kwenye huu mjadala.

Cjutii kumiliki hii simu kwani haijanikosesha chochote.
 
Back
Top Bottom