Technicians wanahitajiika.

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
13,628
13,050
Technicians wenye level ya Diploma au chet cha FTS wanahitajika kwenye moja ya Security Company hapa Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mimi kupitia 0715702886 ama tumia Email address yangu (allency1985@gmail.com). Kila la heri. Hata mimi nmepata kazi kupitia Hapa hapa JF. Kwa pamoja tunaweza. Regards
 
Technicians wenye level ya Diploma au chet cha FTS wanahitajika kwenye moja ya Security Company hapa Dar es Salaam....
Nadhani ulimaanisha FTC, lakini bado hujaweka maelezo ya kutosha. FTC ya nini, Water Engineering?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom