Chinga boy
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 412
- 101
Za jioni wadau,kwa muono wangu sasa nahisi hizi kazi za tech hasa za mawasiliano sasa zinaenda mwisho na watu tutafute shughuli za kufanya.Kama voda na Nsn wanaanza ku monitor network frm remote watu wa switch na bsc na vitengo vingine mhmm.Kwa upande wangu niko Zantel mwanzo walituoutsourci ki magumashi kwa local company,then now wamekuja na kampuni ina run loss wanataka kuzima minara na wafanye roaming kupitia minara ya voda hamna kazi tena hapo.Kinachoniuma zaidi Nssf hadi 55.FULL MAUMIVU