Technical advise please!!!!!

Lugovoy

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
573
170
Habari ya wkend wakuu?

Ninatumia simu aina ya samsung A877 AT&T
Sasa nimejiunga na hii huduma ya Dstv mobile,lakini huduma hii siipati vizuri inaonyesha hizi TV kwa shida sana inakatika mno na buffering nyingi sana sasa sijui tatizo ni mtandao uko slow au ni nini,natumia vodacom nimejaribu kununua bundle ya cheka internet ya shs 3000 kwa siku ambayo iko fast lakini bado tatizo halijaisha,naombeni msaada kwa wataalamu shida ni nini na nifanyeje kusolve hii kitu!!Nawasilisha.
 
Kuna vitu viwili hapo
1.Simu yako yawezekana ina uwezo mdogo wa kudownload yaani pengine simu yako natumia EDGE badala ya Kutumia 3G.
kama inatumia 3G basi kuna wakati Network huwa inakuwa slow kutokana na eneo ulipo,endapo eneo hilo lina watumiaji wengi wa huduma ya internet kwa wakati huo inaweza ikawa ni tatizo vilevile la kusababisha buffering kila wakati.
2.Inawezekana kabisa mtandao unaoutumia kwa muda huo ukawa una matatizo yake .


Nawasilisha
 
Kuna vitu viwili hapo1.Simu yako yawezekana ina uwezo mdogo wa kudownload yaani pengine simu yako natumia EDGE badala ya Kutumia 3G. kama inatumia 3G basi kuna wakati Network huwa inakuwa slow kutokana na eneo ulipo,endapo eneo hilo lina watumiaji wengi wa huduma ya internet kwa wakati huo inaweza ikawa ni tatizo vilevile la kusababisha buffering kila wakati.2.Inawezekana kabisa mtandao unaoutumia kwa muda huo ukawa una matatizo yake .Nawasilisha
Thanks mkuu nimekupata vizuri,simu yangu inasupport 3G internet naona shida itakuwa labda kwenye mtandao maeneo niliyopo watu wengi wanatumia internet.
 
Back
Top Bottom