Teamo, Chrispin na Kaizer NDANI YA TBC1

Inaonekana kabisa watu wenyewe wanaoenda hapo studio hawajiamini!Yaani unajiandaa utafikiri ndiyo wa kwanza kwenda kufanya uchambuzi hapo TBC1 au kwenye TV yeyote hapa dunia.
Mbona watu wana-cross border kwenda kuchambua mambo kadhaa wa kadhaa ikiwemo soccer live;hapo TBC1 tu ndiyo mnagwaya hivyo tukiwavusha mipaka si utatangaza mgonjwa kabisa!
Ninachowaomba mnatakiwa mjiamini na ku-flow kwa usahihi na kusikika;kama hamuweze ni bora mkubali ya ishe kuliko kwenda kuabisha na kuwakatisha watu tamaa.
 
sasa washkaji ndo washadaka issue! kuwa mpole tu, usikasirike!! tutawasikilizia jioni
 
Mbona nime tune radio Tanzania /TBC Channel wachambuzi nasikia sauti ya Nguli na PJ ?zamu yenu bado?
 
WAPENDWA, najitokeza hapa kuwaalika kuitizama mechi ya MEXICO VS FRANCE saa tatu unusu usiku ambapo sisi fans wa jf tumeomba na kukubaliwa kuichambua mechi hiyo kabla na baada ya mechi

hivi muda si ndio huu?.....au mnasikika masafa yapi, tujulisheni
 
hivi muda si ndio huu?.....au mnasikika masafa yapi, tujulisheni
Ilishindikana hasa baada ya Naijeria kupuliziwa vuvuzela makalioni. Makomenteitaz tukalazimika kuingia mitini lol!
 
jamani eeh!
SITAKI KUAMINI KWAMBA HAMKUNIONA......!:A S crown-1:
 
mi nadhani ni vema soka ikachambuliwa na wataalamu wa soka(wenye taaluma) na si ilimradi tu wataalamu wa kutemebela tovuti na kukariri....aibu tupu TBC1
 
nilisema hawa kama mtawaona TBC1
mmeona sasa?
hahahahaaaa!.yani ww ulifikiri hawa wataondoka kaunta na akili zao zilizochanganyika na valuu waende TBC kuongea huku wakiwa na glass za maji?
 
Back
Top Bottom