teacher.......

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
Teacher: "Who can tell me what 7 times 6 is?"
Student: "It's 42!"
Teacher: "Very good! - And who can tell me what 6 times 7 is?"
Same student: "It's 24!"
 
ha ha haaa, huyo mwanafunzi baadae atakuja kuwa kiongozi wa CCM kama sikosei vile.
 
Mwanafunzi wa aina hiyo ndo aina ya wale wanasiasa wanaosema ufisadi ni wa mtu binafsi na sio chama, mara gafla wanakuja na ajenda ya chama 'kujivua gamba'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom