Tea see u,.,(tcu)

Ka2pain

Member
Apr 19, 2011
97
24
Hackers naomba mfanye mambo kwenye web ya TCU ili tujue kinachoendelea,.,mana uvumilivu nahisi kunishinda,.
 
Yaani we acha tu. Tunavyojitahidi kuvumilia anajua Mungu peke yake Tarehe 4 Aug ndo hiyooo imepita. Hakuna kinachoeleweka, hakuna dalili ya kuwa hayo majina yatachapishwa. Nitawaamini nikisha yaona hayo majina.
Usishangae wakatoa mwakani.hahahaha.
 
wametoa ngwe ya pili ya kufanya application kwa wale watakaokosa na ambao hawaku apply kabisa so its beta mkawajulishwa wenzenu ambao hawaku apply watest zali
 
Na wale ambao hawajachaguliwa watajuaje hawajachaguliwa wakati selection zenyewe ndo hivyo bado hazijarushwa
 
Unsellected aplicants mbona wanajijua hakuna haja ya kuletewa majina.kilichobaki ni sellected kujua wanaenda chuo gani.
 
Back
Top Bottom