TCU website ina be loaded masaa54 af nothing?¿¿!

Vanpopeye

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
620
59
Jama hawa watu wana mambo ya ajabu kama wanga,yani me nilijua web yao inasumbua hapa tu,braza wangu wa nje nae amefungua kamchezo kalekale!aaaaaah

asante kwa kutujuza kuwa una brother nje, just fahamu kuwa hakuna internet ya kizungu wala ya kiswahili..

asante kwa kutujuza kuwa una brother nje, just fahamu kuwa hakuna internet ya kizungu wala ya kiswahili..

heheheh! alafu hivi anajuwa masaa 54 ni siku mbili na masaa kadhaa.. ati web ina load computer ipo ON!

eheh any ways ! pole Van popeye

Jama hawa watu wana mambo ya ajabu kama wanga,yani me nilijua web yao inasumbua hapa tu,braza wangu wa nje nae amefungua kamchezo kalekale!aaaaaah

ndo yule braza wako aliyeko somalia au?

Ni vizuri kuwa wavumilivu mwisho wa mwisho lazima kieleweke japokuwa kila mtu hupenda kupata uhakika wa jambo analolihitaji kwa wakati ,tatizo bongo ilishakuwa kawaida kwenda kwa kusuasua

Inashangaza sana yaani tatizo juu ya tatizo!!!Machaguo yamechelewa sana,tumevumilia,yanakuja kutoka saa 50 na zaidi web yao haifunguki,MUNGU atusaidie.

[h=3]cas
Selected Applicants[/h]There is no contents at the moment.

We mtoto nilikua namaanisha speed na loading capasity ya mtandao,unajua kua wenzetu wana mpaka 6G?huku cc mwsho 3.5G kama ckosei,HUO UHADIJA KOPA ULIOUFANYA!
asante kwa kutujuza kuwa una brother nje, just fahamu kuwa hakuna internet ya kizungu wala ya kiswahili..

Teh teh...njiwa!

heheheh! alafu hivi anajuwa masaa 54 ni siku mbili na masaa kadhaa.. ati web ina load computer ipo ON!

eheh any ways ! pole Van popeye

Back
Top Bottom