TCU wameniua!!

Aug 11, 2012
76
3
jamani Nifanyaje Nimepangiwa UDSM coz hata sijaiomba alafu Ni ya Science wakati Mimi Nilisoma Arts.. Bachelor of Engineer sijui na Makorokocho gani Asee!!!
 
Acha uhuni bana! hakuna course kama hiyo! "Barchelor of engineer" ?

Pia kwa sysetrrm hizi za TCU,I dont think this can happen!
 
Aisee hii kitu imetokea hata kwa chalii wangu mmoja,,yeye amesoma EGM na aliappy UDSM,Ardhi na Mzumbe course za biashara lakini cha kushangaza kwenye majina ya waliokuwa not selected alikuwepo akafanya application kwa 2nd round akachagua St. John Dodoma but selection zimetoka leo amepangiwa bachelor of science in computer and information system na kwenye selection za UDOM yupo..naweza nkaelezewa hapa inakuwaje aisee..
 
jamani Wamesha nirekebishia
SA002
Bachelor of Arts in
Public Relations and
Marketing
St. Augustine
University of
Tanzania
7 Admitted Eligible
 
Back
Top Bottom