TCU vipi jaman

Safre

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
273
36
Sijui hawa jamaa wameshindwa kazi? Maana walitwambia mwez wa nane watatoa selection wakasogeza mbele tena had mwez wa tisa tetesi zilizopo jamaa wameshindwa wamewaashia vyuo vichague vyenyewe tatizo mda unaenda wanatuweka katika wakati mgumu mtu yoyote mwenye taarifa za tcu
 
da ebwana kutokana na kuwa na watu wengi sana walioomba vyuo vikuu ndo maana mmeona kimya cha mda mrefu namna hii lakini si mda mrefu sana mtaona majina yenu hewani wakati huohuo vyuo vikuu vyote nchini vinatarajiwa kufungua nov 13 msiwe na wasiwasi kwani lazima mmpewe mda wa kujiandaa mwezi huu hauwezi kupita kabisa.tatizo kubwa ninaloweza kusema kuwa serikali yetu haipendi kuwapa vijana ajira kwani mpaka sasa watu wengi kabisa ambao wangeweza kusaidia kazi hio ya mtandao ni wengi lakini wapo street tu nalo hilo liangaliwe ndugu zangu kama kuna mtu anaweza kupeleka taarifa hizi apeleke.
 
Habari hii nadhani ingefaa kuwekwa kwenye jukwaa lingine kama vile la elimu au habari mchanganyiko, sio hili la siasa.
 
da ebwana kutokana na kuwa na watu wengi sana walioomba vyuo vikuu ndo maana mmeona kimya cha mda mrefu namna hii lakini si mda mrefu sana mtaona majina yenu hewani wakati huohuo vyuo vikuu vyote nchini vinatarajiwa kufungua nov 13 msiwe na wasiwasi kwani lazima mmpewe mda wa kujiandaa mwezi huu hauwezi kupita kabisa.tatizo kubwa ninaloweza kusema kuwa serikali yetu haipendi kuwapa vijana ajira kwani mpaka sasa watu wengi kabisa ambao wangeweza kusaidia kazi hio ya mtandao ni wengi lakini wapo street tu nalo hilo liangaliwe ndugu zangu kama kuna mtu anaweza kupeleka taarifa hizi apeleke.
saut wanafungua oct 2 mkuu, hapo sijui itakuwaje na kwa wale waliomba direct chuoni majina yalishatoka kitambo.
ila kama sijakosea walitoaga kwenye taarifa ya habari TBC1 kwamba majina yatatoka sep 18
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom