Tcu ufisadi mtupu

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,984
2,586
Wana jf naomba tujiulize swali moja la msingi sana.hawa watu wa tcu wanatoa majina ya wanafunzi waliokosa nafasi then wanaficha ya wale waliopata ambo ni wachache kuna siri gani??? Wanataka hawa waliokosa waende na ki2 kidogo then waanze kufanya re-placement??? Nani atajua mana majina wameficha!!! Huu ni usanii mwingine na mradi waliobuni kujipatia fedha haramu!! Ni jamii ya ja-iiroo wengine. Nashindwa kuelewa ni kwa vipi waweze toa majina ya waliokosa ambao ni wengi then washinde kutoa majina ya waliopata. Sikubaliani na utaratibu huu kabiasa. Ni usanii mtupu

nashangaa kuna marafiki zangu washajua course zao, walifungua acount zao wakakuta selection,.but however much i try to open mine,.there is nothing..wts the logic behind this?

kuna ktu knanishangaza jaman,kuna mjtu inajua post zao,hii inaniwia ngumu kuimesa wajamen?

Heti jamani...mbona nikiangalia my necta result zimepotea? Pia nikifungua selection result hamna kale kamsemo kao? Panakuwa patupu! Nasikia harufu ya damu tu....aisee atapigika mtu kama wamechakachua. Ohoo

Nakumbuka tcu walipotoa majina ya walio kosa, walitoa na nafasi nyingine kwa watu hao kuomba tena via internet, tena bure. Wakatoa na kozi ambazo watu hao walipaswa kuomba. haikuishia hapo, wakaongeza nafasi ya kuaply via e-mail BURE sasa hzo fedha haram unazo zungumzia ww ni zip? Ninyi f6 leaver msijifanye mna ham sana ya kuingia chuo. Njoon tu vyuon muone. Wengine mtataman kurud nyumban semester ya kwanza tu kwa sababu zozote zile. Iwe ugum wa maisha, ugum wa masomo etc. Tena msifundishe watu kazi, hao jamaa wamesona kuzidi ninyi wanajua kwann wanafanya hivyo. Hata mim naona wanachofanya is logical.

acheni pupa,majina watatoa tu,na kama una sifa umechaguliwa,sasa haraka ya nin

wengne na performance zao za kusubria kudra za m/mungu hawajiamn. Nowdayz no complication vyuo vpo vng.

Nakumbuka tcu walipotoa majina ya walio kosa, walitoa na nafasi nyingine kwa watu hao kuomba tena via internet, tena bure. Wakatoa na kozi ambazo watu hao walipaswa kuomba. haikuishia hapo, wakaongeza nafasi ya kuaply via e-mail BURE sasa hzo fedha haram unazo zungumzia ww ni zip? Ninyi f6 leaver msijifanye mna ham sana ya kuingia chuo. Njoon tu vyuon muone. Wengine mtataman kurud nyumban semester ya kwanza tu kwa sababu zozote zile. Iwe ugum wa maisha, ugum wa masomo etc. Tena msifundishe watu kazi, hao jamaa wamesona kuzidi ninyi wanajua kwann wanafanya hivyo. Hata mim naona wanachofanya is logical.

Nakumbuka tcu walipotoa majina ya walio kosa, walitoa na nafasi nyingine kwa watu hao kuomba tena via internet, tena bure. Wakatoa na kozi ambazo watu hao walipaswa kuomba. haikuishia hapo, wakaongeza nafasi ya kuaply via e-mail BURE sasa hzo fedha haram unazo zungumzia ww ni zip? Ninyi f6 leaver msijifanye mna ham sana ya kuingia chuo. Njoon tu vyuon muone. Wengine mtataman kurud nyumban semester ya kwanza tu kwa sababu zozote zile. Iwe ugum wa maisha, ugum wa masomo etc. Tena msifundishe watu kazi, hao jamaa wamesona kuzidi ninyi wanajua kwann wanafanya hivyo. Hata mim naona wanachofanya is logical.

kama maisha magumu hata huk

HAHAHA! 6 Leavers wanahamu kuingia chuoni... wakuu wanaficha majina kujaribu kuficha privacy ya mtu! baadhi ya watu wasingependa kujulikana wamekwenda chuo gani kusoma major gani...

mbona wajanja waisha jua wanaenda wap!

mbona wajanja waisha jua wanaenda wap!

wamejua lakini si kwa matokeo kuwekwa hadharani .... si nasikia kuna utaratibu wa kujua..? mkuu yeye hapo juu anataka waanikwe magazetini au kwenye ubao wa matangazo

atasubr sana.

Mzaz embu nijuze pls ntajuaje? Mi nimekosa alterntv pls f u knw unaweza nisaidia?

Back
Top Bottom