Tcu!!! Tcu!!! Mbona hii ajabu kwa st joseph university dsm

harty kaminus

Member
Aug 21, 2012
5
1
jaman mbona list of selected student to join St joseph university dsm kwenye web yao majina ya waliochaguliwa
kujiunga na information system na network engineering siyaoni au kwangu peke yangu. please naombeni msaada wenu
 
Majina yote yamebandikwa kwenye notc board so tafuta mtu aliye huko akuchekie.coz yale majina ni machache tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom