TCU sipendagi ujinga mimi!

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,226
3,507
Jaman tcu mlipandisha grade ili tufeli ila bado tukachomoa one zetu na two zetu nzuri tu sasa huu ujinga wa kutunyima vyuo na kutusubilisha hivyo second round mnamaanisha nini? mi nimechoka ujinga wenu ikifka kesho kutwa kabla hamjatoa post za second round nitafanya uamzi mgum ambao hamjawahi kusikia!!!
 
Mkuu uamuzi gani? usinywe sumu isee bata lote hili unamwachia nan sasa?? Be brave face life
 
Mwisho n ijumaa ya wik hii Kama awatatoa nawakuta ofisin kwao.
sipendagi ujinga mm
Bodi mpya imetambulishwa jana lakn malalamiko ya miaka iliopita yako vilevile, sasa sielew hawa waliochaguliwa wametatua nin?
Mpaka leo watu hawajui ata second round inamwagika lin sasa hii c ajab.
Alaf mda mwengne mkumbuke hii n nchi sio kijij
 
Nimeshindwa kuelewa kama una haraka ya kuenda chuo au hamu. Au vyote viwili kwa pamoja.

We fanya tu unalotaka kufanya ila nina uhakika halitawadhuru TCU ila wewe mwenyewe.
Wakifanya haraka kukupanga halafu wakakupanga sehem ambayo uliweka last ptiority utakuja tena JF kulalamika.

Subira umeipeleka wapi?
Anyway mimi nipo nahesabu masaa tu kujua utalolifanya.
 
Jaman tcu mlipandisha grade ili tufeli ila bado tukachomoa one zetu na two zetu nzuri tu sasa huu ujinga wa kutunyima vyuo na kutusubilisha hivyo second round mnamaanisha nini? mi nimechoka ujinga wenu ikifka kesho kutwa kabla hamjatoa post za second round nitafanya uamzi mgum ambao hamjawahi kusikia!!!
Kwa haya mawazo yako na suggest ata chuo usipangwe hufai kusoma elimu ya juu rudia tu shule ya msingi kaakaaaa
 
Back
Top Bottom