Jaman wale wenzangu wA SAUT-BUKOBA tufahamiane one love
Jaman wale wenzangu wA SAUT-BUKOBA tufahamiane one love
du kumbe bukoba kuna chuo?
Acha unafiki na dharau.[/QUOT
mkuu si dharau wala unafiki sijawah kusikia kama bukoba kuna chuo
Wapi Ze duduz???
Hongera sana Mtaalamu
BVM pande za Suaa ooh mamaaaa !!
thanks mkuu !! Hahah hapa tanzian one akithububu kuxomaa hii kozi lazma atembelee tumbo
Hongera mkuu ujiandae na msuli wa 5 years
hahahahaha umetisha
mj moja