Frank nzoka
Member
- Aug 11, 2011
- 30
- 8
Mimi nina swali. Kama wanafunzi wote tumeomba kupitia tcu ndo tunaitegemea itoe selections kabla ya vyuo husika. Je imekuwaje IFM wao wametoa? Na je kwa huyu aliyechaguliwa ifm akiingia kwenye acount yake tcu na kufungua selections results yeye anajibiwaje? Maana cc 2mezoea na kukutana na neno SORRY...........