TCU, selection lini?

MSEHWA

Member
Apr 21, 2011
15
0
Hivi inamaana tcu hawajatoa kitu? Mbona leo kunamtu ananieleza wametoa? Au CHENGA TUPU?

1. Introduction
Second round of applications is now open. This round is for applicants who did not apply during the first round of applications (New Applicants) and qualified applicants who were not selected (Unselected Applicants) under the first round due to reasons listed below:
(a) Did not have the minimum A 'level points for the specific programme(b) Had below cut off points(c) Did not have the minimum grade for the required relevant subjects(d) Did not have the required relevant subjects (e) Did not fulfill minimum admission criteria for the respective program

2. Who should applyApplicants who are required to apply under the second round are:(a) New Applicants(b) Qualified applicants who were not selected in the first round of applications due to reasons listed above.

3. When to Apply

S/No.

Group

Date

1.
New Applicants
06th August 2011

2.
Unselected Applicants
After the release of first round of selections

4. Deadline for ApplicationsThe deadline for applications for both groups is Monday, 22nd August 2011

Baada ya second round watakuwa tayari kutoa Posting zao, lakini kwa sasa wale wote walioomba mapema Compilation ilishafanyika na Vitabu viko vyuoni, bado vyuo kutangaza tu.

da mi mwenyewe nashangaa sana kwa sabb mpaka hivi sasa npo net lakini ndugu yangu naona ni chenga TUUUUUUPUUUUUUU!!!!!!!!!!!!

Me naona bora ule mfumo wa dhaman urudi,ingawa ulikua cost bt ulikua hauna longo longo ka hz wanazofanyiwa hawa madogo..

Me naona bora ule mfumo wa dhaman urudi,ingawa ulikua cost bt ulikua hauna longo longo ka hz wanazofanyiwa hawa madogo..
Hao madogo wana Moto tu, Vyuo vinafunguliwa mwezi wa 9.Na Jukumu la Kutangaza litakuwa la vyuo, huu mfumo wa sasa ni mzuri unazuia uchakachuaji kwa kiasi kikubwa.TCU wameprogramme results toka 1988 mpaka sasa, uki apply matokeo yako wanayo.Ni nzuri.Zamani vyuo vingi vilikuwa vinatangaza kati ya July na August. Kwa hiyo iko ndani ya muda tu.

ivi ni vyuo vyote vinafungua mwezi wa 9 au ni sut tuu? maana wao na tarehe ya kufungua washaweka.

ivi ni vyuo vyote vinafungua mwezi wa 9 au ni sut tuu? maana wao na tarehe ya kufungua washaweka.
Asilimia kubwa ya Vyuo kwa first year ni wiki ya mwisho ya septemba, Japo kuna vyuo vingine havijafunga mpaka sasa, mfano IMTU, Wao wanaanza mtihani next week.

We nenda kafungue my programs..ukiona program zako zimefutwa ujue hujachaguliwa. Ni njia ambayo wajanja wanaitumia.

Baada ya second round watakuwa tayari kutoa Posting zao, lakini kwa sasa wale wote walioomba mapema Compilation ilishafanyika na Vitabu viko vyuoni, bado vyuo kutangaza tu.

Hawa jamaa wa TCU hamnazo kabisa!Eti wanasema wanafunzi wasiochaguliwa waombe tena.Swali ni kwamba wanafunzi watajuaje kama wamechaguliwa wakati majina ya waliochaguliwa hayajatolewa?

jamani wadogo zangu wa kidato cha sita acheni kelele nazani kila kitu kinautalatibu wake,kikubwa we jiande kwa kujitunzia fedha za kwenda kuanzia maisha chuoni kipindi unasubili bodi ya mikopo,
naona mnamchecheto na tcu,vyuo vinafunguliwa mwezi wa kumi,kwani yakitoka leo itakusaidia nini au mnataka mkasome twisheni kama mlivyo zohea secondary chuoni akuna twisheni,we jipange kifedha ili usije ukasumbuka chuoni kipindi unasubili bumu

Swahiba umeandka kwa afya inaelekea we program zako zpo eh?ngoja nikazichukue ulie.teh teh

hahahahaaa! Bro, nenda tu! Nikupe password na username? :)

Kwa kwa kwa kwaaaa!!!ila papaa matokeo huu mwezi haukatiz kitu kinaachiwa na post pia!we utaenda muhas

hahahahaaa! Bro, nenda tu! Nikupe password na username?

Mama yangu wewe uliye wambia ile njia yako ya kugundua kama umechaguliwa au umeachwa kama ujanja wako sasa imekwisha tapakaa mitaani huku wa2 wameamini na kuanza kuhaha. Jamani tumecheleweshwa but tuvumilie. Kama alivyosema senetor hapo juu hakuna tuition huko.
Ah,cjaomba huko!labd aru

Back
Top Bottom