Naomba msaada wenu sababu nimejaribu kuwapigia TCU simu haipokelewi;
Ni hivi nlikosa 1st selection, nika apply 2nd selection, wakaniambia, CONGRATULATIONS YOU HAVE BEEN SELECTED.
Sasa hivi wamenitumia msg tena kwamba nichague list ya vyuo kwa sababu sijachaguliwa due to competition hawa jamaa siwaelewi; tatizo ni kwamba course niloichagua 2nd selection haipo tena.