TCU : Orodha ya Majina ya Walio na Sifa lakini Hawajachaguliwa

saggy

Senior Member
Nov 12, 2008
153
70
Wadogo zangu wale ambao mtaona Majina yenu hapa,Tafadhari Zingatieni maelekezo yafuatayo:

1.Kwa Wale ambao walisha Aplly mara ya kwanza : Kama Jina lako lipo katika Orodha Hii,Apply Upya na mwisho ni tarehe 22/08/2011

2.Kwa wale Wapya kabisa: Apply Upya kabla ya Tarehe 22/08/2011 ili kuepuka Msongamano wahi kabla ya tarehe hiyo


NB:Wale ambao wamekwisha Ku Apply mara ya kwanza hawatalipia tena

Tafadhari soma maelekezo zaidi katika Word Document ambayo nimeambatanisha.

Poleni sana wadogo zangu kwa usumbufu.

Ni mimi Kaka yenu Saggy.


MAELEKEZO


1. Introduction
Second round of applications is now open. This round is for applicants who did not apply during the first round of applications (New Applicants) and qualified applicants who were not selected (Unselected Applicants) under the first round due to reasons listed below:
(a) Did not have the minimum A 'level points for the specific programme
(b) Had below cut off points
(c) Did not have the minimum grade for the required relevant subjects
(d) Did not have the required relevant subjects
(e) Did not fulfill minimum admission criteria for the respective program

2. Who should apply
Applicants who are required to apply under the second round are:
(a) New Applicants
(b) Qualified applicants who were not selected in the first round of applications due to reasons listed above.

3. When to Apply
S/No. Group Date
1. New Applicants 06th August 2011

2. Unselected Applicants After the release of first round of selections

4. Deadline for Applications
The deadline for applications for both groups is Monday, 22nd August 2011

6. Payment
(a) New applicants Have to Pay
(b) Unselected applicants- No payment required

7. Programme selection
Applicants under the second round of applications can only apply to programmes in the available list.

N.B For entry requirements, tuition fee and other relevant details for each programme, applicants are strongly advised to consult the 2011/2012 Students Guidebook before lodging their applications.
For further clarification please contact TCU through the following:
EXECUTIVE SECRETARY,
P O BOX 6562,
DAR ES SALAAM,
Tel: (255) (22) 2772657,
Fax: (255) (22) 2772891,
Hotline number: 0759 539987, 0759 537659, 0714 582742, 0783 600424 and 0773971363,
Email: es@tcu.go.tz, dad@tcu.go.tz or admission@tcu.go.tz
TCU offices are located along Garden Road, Mikocheni Area, Dar es Salaam
 

Attachments

  • Maelekezo.docx
    13.3 KB · Views: 82
  • ListofApplicantsQualifiedbutnotSelected.pdf
    1.3 MB · Views: 676
Wanatakiwa waombe upya
 

Attachments

  • List_of_Applicants_Missing_3_Credits_at_O_Level.pdf
    230.9 KB · Views: 241
  • List_of_Students_Missing_2_Principles_at_ALevel.pdf
    822.8 KB · Views: 452
DO WE DO THIS COZ WE ARE BLACK AFRICANS OR COZ WE ARE BLACK TANZANIANS? WE SEEM UNSYSTEMATIC AND ZIGZAG IN OUR THOUGHTS AND MINDS.IT IS COMPLETELY NONSENSE TO ALLOW 2[SUP]ND [/SUP]APPLICATIONS BEFORE THE RELEASE OF THE 1[SUP]ST[/SUP] SELECTION.MBAYA ZAIDI you don't even dare to give the deadline.Hii yaweza kuwa ni utani ila cio maridadi kwani we need to change and be perfect.
 
DO WE DO THIS COZ WE ARE BLACK AFRICANS OR COZ WE ARE BLACK TANZANIANS? WE SEEM UNSYSTEMATIC AND ZIGZAG IN OUR THOUGHTS AND MINDS.IT IS COMPLETELY NONSENSE TO ALLOW 2[SUP]ND [/SUP]APPLICATIONS BEFORE THE RELEASE OF THE 1[SUP]ST[/SUP] SELECTION.MBAYA ZAIDI you don't even dare to give the deadline.Hii yaweza kuwa ni utani ila cio maridadi kwani we need to change and be perfect.

mkuu naona toka umejiregister ni wewe na TCU! wamekutosa nini..?

pole...

Ombi - naomba uandike allegations zako kwa kiswahili tumia caps za kawaida sio herufi kubwa tutakuelewa zaidi..

ahsante!
 
Kuna mtu kanipigia kaniambia TBC wametangaza tcu wametoa matokeo. Je ni kwel wadau kwa maana, hamna new feed ktk website yao.
 
Jamani samhani kwa usumbufu maana haya ndo maisha yenyewe nauliza hivi ina maana kama hujaona jina lako sehemu zote tatu walizotoa hawa jamaa wa TCU ina maana unakua ni mmoja wa waliopata
 
Jamani samhani kwa usumbufu maana haya ndo maisha yenyewe nauliza hivi ina maana kama hujaona jina lako sehemu zote tatu walizotoa hawa jamaa wa TCU ina maana unakua ni mmoja wa waliopata
<br />
<br />
yeah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom