TCU ni kama selection tayari!

Mwanangu zlikuwa ni scholarship za mozambique!kubabake tcu!

just cool down,kwa upande wa scholarship i mean algeria and mozambique baada ya selection kumalizika, zili be delected, so worry out.

Mwanangu zlikuwa ni scholarship za mozambique!kubabake tcu!

hizo scholarship i mean algeria and mozambique ziliondolewa baada ya selection zake kumalizika,so worry out!

hizo scholarship i mean algeria and mozambique ziliondolewa baada ya selection zake kumalizika,so worry out!

So,untk kunambia kwamba,kwa upande wa scholarship ndo tyr nishapigwa chini au.........?!maana mpk sas ni kimya!

mimi upande wangu ni kama TCU wamefeli kufanya kazi waliotarajia/jiwa kufanya. Kwasababu waliandika wangetoa majina mwishoni July, hawakufanya hivyo. August 4, pia hawakufanya hivyo.Sasa hivi wanasema kama hujapangwa omba tena na mwisho ni 22/08/2011. Huu ni usumbufu mkubwa sana kwa Watanzania. Kwa sababu wengi wetu wapo vijijini, mara kwa mara wanatuambia "nasikia tcu wametoa majia naomba niangalizie". unaangalia kila leo huoni kitu. Na huo utaratibu wa kujua kama uliimba uombe tena au usiombe kama wana JF mlivyo tujuza hawaujui. Huu ni usumbufu na hata kumalizia pesa kusiko kuwa kwa msingi kwa wenye kipato kidogo kama mimi.

Ingekuwa tcu inasimmia mambo ya urembo au siasa waandishi au vyombo vya habari vingekuwa vimefika kuulizia kulikoni hapo tcu lakin kwa kuwa ni elimu nashangaa hamna anaejali hata dr shukuru anakula kula kuku tu dom....

Habari zenyu wana JF?

Kwa wale 1st aplplicants ni wazi kwamba selection ni kama imetoka kwani tayari 2nd application ipo on.kilicho baki ni watu kujua wamepangwa wapi.kwa wale ambao hawakuchaguliwa ni rahisi kujua kwan utakapokwenda kwenye account yako na kulogi in nenda moja kwa moja kwenye my programs then kama utakuta program zako hazipo na umejibiwa no records found

inamaanisha upo kwenye unsellected upplicants hivyo unatakiwa uombe upya yaani uingize upya new programs ambazo wametoa tayari na idadi ya watu ambao wanahitajika ktk kila chuo pamoja na cut off points.kwa wale ambao watakuta program zao zipo basi hawana haja ya kujaza tena kwani wao ni sellected applicants wasubiri tu kujua wametupwa wapi.naomba kuwasilisha.

kuna jamaa yangu amekuta no record kwenye profile yake,
ameamua aombe second applications kwenye sehemu walioandika click add/remove. Kitu kingine ambacho jamaa amekiona ni list of programme ambazo huenda ni vacant baada tu ya kuclick hiyo sehemu. Baada ya kujaza programme zake ambazo alikopi kutoka kwenye hiyo list alishangaa kuona tena tayari zimekuwa displayed kwenye my programme.
Binafsi ninacho kiona huenda hilo tangazo lililopo kwenye website ya TCU limekaa ki fasihi zaidi cha msingi kwa wale watakao ona iyo hali wasisite kufanya second application ambayo deadline yake ni 22 monday.

Sasa wana jf angalieni hiyo njia ya cuedit isijewaletea madhara mana ukedit progrom si zinajiupdate kwa wale waliokosa na tena muda wao wa kuomba bado hadi matokeo yatakapokuwa realzed hiyo njia ni nzuri kama utakuwa umechaguliwa sababu hakutakuwa na badiliko lolote lile.okay just ma thinking

Tcu tumewachoka...wiki ijayo j3 mnafunga maombi nitajuaje kama nimechaguliwa? Hata kama program zangu nimezikuta but sina imani 100%... Bado hofu ipo tu, nitaamini nikiona results :(

Tcu tumewachoka...wiki ijayo j3 mnafunga maombi nitajuaje kama nimechaguliwa? Hata kama program zangu nimezikuta but sina imani 100%... Bado hofu ipo tu, nitaamini nikiona results

pole,kwa taarifa yako we hujachaguliwa..endelea kupga tempo 2.

Natoa wito kwa wana jf ambao wanatarajia selection ya tcu.tar 22 ni mwisho wa 2nd round that means kuna 1week left.hvyo kama we huamini mpka uguse au unuse acha kuedit program zako ambazo zimefutwa utajua kama hii ni bongo ama zimbabwe wakishafunga editing.

we ni nani hadi kuwapga wa2 mkwara kiivo?

acha mbwembwe..

jaribu kuwauliza waliochaguliwa ifm je wakienda kwenye acnt zao zinaandika nini?we senetor kisa program zako zpo thats why unakua jeur usingethubutu km ukiedit vinaeditika.teh teh teh teh teh!ungekua wakwanza ku add program.

we kama unajua,waambie vijana matokeo ya selection zao ni lini!!over

Back
Top Bottom