Baba Collin
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 456
- 58
Habari zenyu wana JF?
Kwa wale 1st aplplicants ni wazi kwamba selection ni kama imetoka kwani tayari 2nd application ipo on.kilicho baki ni watu kujua wamepangwa wapi.kwa wale ambao hawakuchaguliwa ni rahisi kujua kwan utakapokwenda kwenye account yako na kulogi in nenda moja kwa moja kwenye my programs then kama utakuta program zako hazipo na umejibiwa no records found
inamaanisha upo kwenye unsellected upplicants hivyo unatakiwa uombe upya yaani uingize upya new programs ambazo wametoa tayari na idadi ya watu ambao wanahitajika ktk kila chuo pamoja na cut off points.kwa wale ambao watakuta program zao zipo basi hawana haja ya kujaza tena kwani wao ni sellected appliView attachment NewEmptySlot.pdfView attachment NewEmptySlot.pdfView attachment NewEmptySlot.pdfView attachment NewEmptySlot.pdfView attachment NewEmptySlot.pdfcants wasubiri tu kujua wametupwa wapi.naomba kuwasilisha.View attachment NewEmptySlot.pdfView attachment NewEmptySlot.pdf