TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

Jaman si mumjibu vizur tu.......yanini kumponda ivo?,,....ata kama haeleweki ni vema mkamrekebisha ki uungwana tu,,.... em tuwe wastaarabu bac
 
Hii tabia ya kuweka title positive halafu ukija kwenye yaliyomo unakuta ma question mark siipendi kweli.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wana jf et kuna ukweli wowote kuhusu hili maana me nimepokea taarifa kibao et tcu wametoa post leo wakat nikiangalia kwenye profile yangu hakuna ki2 kama hicho.au nyie wadau ebu angalien na nyie
kwa uandishi huu umeshakosa chuo kama unabisha utaona
 
mkuu mbona kichwa cha habari na maelezo yako haviendani?! Au umekurupuka kutoka usingizini ukaona upost thread bila kufahamu unapost nini..

hilo ni swali..! Au maelezo au taarifa kwa ufup. Mana sijakuelewa. Pia hizo habar aliyekupa ndo ukamwambie akueleweshe vizur. Kama unaweza kuingia JF unashindwa kugugo hizo taarifa tcu. Fikiria kwa makini mada ndo uipost

Jipande upya ili heading na maelezo viendane

Watu wengine wapu..uzi kwelikweli...

Hili jukwaa ni muhimu sana ndugu zangu,ni moja kati ya jamvi muhimu sana kwa walio masomoni na hata wahitimu waliopo mtaani kama nyie vijana.
Najua hapa form six mpo wengi tu mkisubiri kujiunga na Elimu ya juu.
Ila kuna sintofahamu imezuka miongoni mwenu japo siyo wote,hii tabia ya kuanzisha thread bila hata kufikiri,leo hii kuna zaidi ya thread kumi zenye maudhui ya aina moja !! Mtu bila kusoma thread tangulizi kujua kinachojadiliwa ili kama anatatizo alitue hapo but huyoo kupost mara sijui breaking news....tetesi na kadha wa kadha.
Jf inategemewa na wengi kama ndio chanzo chao cha habari za uhakika, kwa trend hii huko mbeleni watu watashindwa kuiamini sababu ya post kamq ya huyu mleta mada. Unaleta kitu then unaishia kutukanwa kama hivi hii haipendezi na sio dalili njema,mleta mada jifunze kuitumia jamiiforums( hii hata kwa wenye tabia kama yako) jf ni kisima cha Elimu itumie vyema.
Hawa mliowakuta kama wangeweka nyuzi za ajabu ajabu sidhani kama leo hii jf ingekuwepo hapa ilipo ! Acheni hizo,hapa hatushindani kama fb wangapi wame like na ku comment.
Kumbuka nyie ndio mnategemewa kuja kuweka threads zenye manufaa kwa UMMA siku za usoni,sijui kwa uandishi huu utasadikika vipi ?
Litumieni vyema hili jukwaa.
NB:
Huu ni ushauri tu sitegemei kuanzisha majibizano na mdau yeyote hapa jamvini.
Wasalaaaam.
 
Habari zenu wakuu..
Jina langu lilikua ni miongoni mwa yale majina 8500 yanayotakiwa kufanya second aplication.. Nikafanya hivyo na kila kitu kilikua sawa.. Nikawa naitembelea profile yangu mara kwa mara.. Muda wote profile yangu ilikua sawa na nilijaza MD pale Bugando na YES wakaniwekea..!! Cha ajabu leo nimechek profile yagu pale kwenye Met Min Requirement wameniwekea NO.. Yaan cna vigezo na ile hali deadline imepita jana na jana hyohiyo nilichek profile yangu iko sawa!!
Naomba msaada wenu wakuu wa mawazo au hata mawasiliano ya haraka ya tcu..!!! Mpaka sasa Nimechanganyikiwa Sielew nianzie wap.. Wengine pia nawashauri mpitie profile zenu
 
Kama una sifa usijali watakuchagua tu inaweza ni tatizo la mtandao au tayari walishakuchukua.
 
Kama umekidh vigezo utapata! Ila kama unajua point hazikuruhusu bac imekula kwako
 
tcu wanazingua vibaya..mm mwenyewe b4 deadline ya mwanza nilipocheck eligibility zilikua yes zote cha kushangaza baada ya kupita deadline baadhi ya courz waliniletea no..but bahati nzur jina langu halikutoka kama nina tatizo..but ucwe na was hawawezi kukuacha
 
Back
Top Bottom