Hahaha hii thread inanikumbusha mwalimu wangu pale Pugu nilipokuwa nasoma kidato cha 5-6, tulikuwa tunamuita "nyoka" jamaa aliwahi kusema "Degree ni degree hata kama ni yakukata viuno" hahaha
sasa TCU kuna watu pale?. Director wa Accredition & Quality Assurance Dr S. Maronga alinifundisha na alikuwa head of department yangu pale UDSM. Hamna kitu kichwan kabisa. waulize waliomaliza mining & moneral process kati ya 2000 na 2010 watakwambia.
Nyote We.u tu mnaobishana, kwani mkiajiriwa sehem moja mnatofautiana mshahara? Hacheni mambo ya ki.shenzi. Mpaka sasa mmelisaidiaje taifa na Degree zenu kama si wizi mnafanya?
Chuo kizuri ni kile kinachotowa wahitimu wengu wanaoweza kutengeneza mazingira ya kuajiri watu wengine,hicho ndo chuo,siyo vile ninavyotowa wahitimu wanaorandaranda na vyeti mtahani kusaka ajira.
wana jf et kuna ukweli wowote kuhusu hili maana me nimepokea taarifa kibao et tcu wametoa post leo wakat nikiangalia kwenye profile yangu hakuna ki2 kama hicho.au nyie wadau ebu angalien na nyie
hilo ni swali..! Au maelezo au taarifa kwa ufup. Mana sijakuelewa. Pia hizo habar aliyekupa ndo ukamwambie akueleweshe vizur. Kama unaweza kuingia JF unashindwa kugugo hizo taarifa tcu. Fikiria kwa makini mada ndo uipost
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.