Lain ya airtel ni muhimu
ila TUmaINI WAMEZIDI KHAA MAGPA YA FIST CLAS KWENDA MBELE..
fanyeni utafiti tena hasa kuhusu mzumbe ......si kweli kwamba degree zao ni feki isitoshe kila chuo mitihani huwa inasahihishwa na external examiners....ina maana paper za mzumbe zikija mlimani hazisahihishwi au? na kama hazisahihishwi ni nani anapalilia tatizo?
inaonekana mleta thread ume-base kwenye hisia na 'hearsay',tupe chanzo cha hizo allegations zako kama ni utafiti au vipi? Inaonekana uko frustrated na competition iliyopo kwenye labour market
Hivyo jina la chuo ulichosoma siyo issue bali unapaswa ku-prove competence yako ili upate opportunity inayojitokeza