Tcu na matokeo ya waliodahiliwa 2011/12

Arselona

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
643
153
Baada ya ngojangoja ya muda mrefu ss hatimaye majina yametolewa hii leo.Wanafunzi wamepangwa ktk makundi mawili A&B.Kama ckosei ni kundi A tu ndio waliopata mikopo na B wamekosa.Kwa mtazamo wangu camini kabisa kama hawa wa2 hawana vigezo.
 
Modearator hii kitu ipelekwe kwenye jukwaa la Elimu
 
da hii ndo tanzania mbona tcu na bodi wanatuchanganya eti not a priority mtu ana vigezo vyote da kwa mtindo huu watasoma watoto wa vigogo2 siwezi uza vitu vyote home eti nikasome then ukimaliza unasugua banch bora unakuwa na uhakika wa kazi wataka wote tuwe walimu nani atawahukumu mafisadi?inaniuma sana wana jf
 
Back
Top Bottom