Tcu mnalofanya si jambo jema.

Makbel

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
774
165
Kozi zote ambazo nilitegemea kusoma kwa mkopo (Priority) nimekosa na nimechaguliwa Second round kwa kozi ambayo haina mkopo (Non Priority) na ambayo si chaguo langu.
Je, ina maana mimi kabwela Degree imeota mbawa? Huu si uuungwana wakuu na sisi watoto wa makabwela tutaendelea kulia sana.
 
matokeo ya second round hayajatoka mkuuu.
 
Mkuu kama kunaaliyebahatika kupata matokeo ya second rounda ya SUA afanye msaada wa kuya2pia haja jamvini.
 
Back
Top Bottom