July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 794
Wadau mnaweza kulog-in tcu mkacheki mabadiliko.. Sijui siku zote hzo walikuwa wanasubiri nini hawa Viazi..
Tnx
Tnx
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka nisaidie kuuweka huo muda kwa kiswahili, ngeli tabu.. Ni saa ngapi vile??CAS itafungwa kesho saa 06:01AM so saivi traffic ni kubwa sana
kaka nisaidie kuuweka huo muda kwa kiswahili, ngeli tabu.. Ni saa ngapi vile??
nilishaanza kuchekele kwamba muda umeiongezwa..dahHapo mbona nime changanya mkuu?? oky ni saa sita na dakika moja usiku.
nimeona makoromboizo kibao nikajua imeboreshwa, wanaonesha people online kwamba ni 48 lakni bado inakulete "error" sijui itakuwaje, sijakamilisha application .."imeboleshwa" ndio nini?
Status yangu ni not yet processed, ina maana gani? M I eligible au wamenipotezea?