Tct tcu wana2changanya

Aug 13, 2012
16
0
Kuanzia leo asubuhi ilikuwa m2 uki-login unakuta umeandikiwa chuo ulichochaguliwa ,lakin cha kushangaza kuanzia saa 10:00am leo wameondoa tena,Kwa kweli mm cwaelew
 
hilo mi staki jua...washasema nimepangwa sua baaaasi!! mengine watajua wenyewe...ila naiman itakua ni system yao inashida....
 
Sijui wana nini hawa jamaa yaani wanazidi kutuumiza vichwa....wanatoa selection at the same time wanazidelete......
 
Back
Top Bottom