TCRA yatoa takwi za idadi ya wateja kwa kila kampuni ya mawasiliano Tz!

wangetoa takwimu za wateja ambao wako active na sio line zilizo sajiliwa maana kama voda m sure nusu yake wanatumia kwaajili ya mpesa tu na sio kwa voice

nina line ya voda tangu ninunue natumia kwa ajili ya mpesa na nmb mobile
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom