Tcra naomba kueleweshwa.. Kila kituo cha luninga kuwa na king’amuzi chake:

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,539
9,462
Haya mambo ya bongo mie yamenifika utocini. Hili suala la kila kituo cha television kuwa na king’amuzi chake imekaaje..? leo kama unataka kuangalia vituo vitatu tofauti vya luninga inabidi uwe na ving’amuzi vtatu tofauti.. ukitaka kuangalia ATN inabidi uwe na king’amuzi cha Ting.. ukitaka kuangalia TBC inabidi uwe na king’amuzi cha Star media.. ukitaka kuangalia ZUKU inabidi uwe na king’amuzi cha Zuku.. ving’amuzi hivi bei yake imeenda shule.. minimum price ni shs 100,000/=.. kulipia kwa mwezi hivyo vingine cielewi bt kwa Star media najua unalipa 18,000/=.. kwa hiyo ili kuweza kupata hizo station 3 inabidi utoe c chini ya shs 300,000.00 za kitanzania kwa ajili ya ving’amuzi vitatu.. kisha utafute hela ya kulipa kwa mwezi ambayo kwa hesabu ya chini ni shs. 30,000.00 kwa mwezi..
Sasa swali kwa TCRA mkiwa kama ndo regulator.. kwanini wacingeamua kuwa na kampuni moja 2 ya kuhucika na urushaji wa matangazo toka kwenye vituo vya luninga tofauti..? hivi kweli wananchi (mie namba moja) tutaweza kweli kumudu gharama za kununua ving’amuzi zaidi ya kimoja..? halafu ki2 kingine kweli hii kazi ya kuchomoa na kuchomeka waya wakati unataka kubadilisha station nyingine ya kwenye king’amuzi kingine.. inatustahili..?

Kama kuna staff wa TCRA humu naomba anijuze au ndo ule msemo tena kama huna hata kidogo kitachukuliwa..?

Hapo umenenana. Ni bora ving'amuzi vyote viwe na channel zote za bongo, wenyewe washindane kwa channel nje. WAZIRI NCHIMBI NA TCRA wapo kama mapambo.
 
Wakati mwingine mi nadhani hii digital ni kama deal fulani ya watu wachache tena walio huko TCRA. Mbaya zaidi hugundulika wakati watu tushalizwa.
 
Tcra utasikia tuleteeni malalamiko lakini ukishapeleka malalamiko wanayapotozea mbali
 
Mi ninavojua nchi hii haina regulator hai hata kidogo. Anza na maji, umeme, weka hao TCRA wote mfu hakuna kitu. maboya wote haooooo
 
Haya mambo ya bongo mie yamenifika utocini. Hili suala la kila kituo cha television kuwa na kingamuzi chake imekaaje..? leo kama unataka kuangalia vituo vitatu tofauti vya luninga inabidi uwe na vingamuzi vtatu tofauti.. ukitaka kuangalia ATN inabidi uwe na kingamuzi cha Ting.. ukitaka kuangalia TBC inabidi uwe na kingamuzi cha Star media.. ukitaka kuangalia ZUKU inabidi uwe na kingamuzi cha Zuku.. vingamuzi hivi bei yake imeenda shule.. minimum price ni shs 100,000/=.. kulipia kwa mwezi hivyo vingine cielewi bt kwa Star media najua unalipa 18,000/=.. kwa hiyo ili kuweza kupata hizo station 3 inabidi utoe c chini ya shs 300,000.00 za kitanzania kwa ajili ya vingamuzi vitatu.. kisha utafute hela ya kulipa kwa mwezi ambayo kwa hesabu ya chini ni shs. 30,000.00 kwa mwezi..
Sasa swali kwa TCRA mkiwa kama ndo regulator.. kwanini wacingeamua kuwa na kampuni moja 2 ya kuhucika na urushaji wa matangazo toka kwenye vituo vya luninga tofauti..? hivi kweli wananchi (mie namba moja) tutaweza kweli kumudu gharama za kununua vingamuzi zaidi ya kimoja..? halafu ki2 kingine kweli hii kazi ya kuchomoa na kuchomeka waya wakati unataka kubadilisha station nyingine ya kwenye kingamuzi kingine.. inatustahili..?

Kama kuna staff wa TCRA humu naomba anijuze au ndo ule msemo tena kama huna hata kidogo kitachukuliwa..?

Eleza kitu cha kueleweka tafadhali,wewe uko wapi na source ya habari yako pia,maana wengine bado tuko na antenna tu na mambo safi.
Tuhabarishe kama ni habari rasmi na inaanza lini hiyo sheria?
 
Naunga mkono lazima TCRA, idhibiti bei za ving'amuzi hivi na subscription fee yake japo hayo ndio maandalizi ya digital migration kutoka anologia kwenda digitali. Kwa Tanzania mpaka sasa tuna makampuni 4 ndio yamesajiliwa kama multi plex oparators, hao Star Media wenye TBC, Chan Ten, na Clouds. Ting wenye ATN, na bado kuna kampuni ya 4 ambayo ni ubia wa ITV na Star TV. Hii inamaana ili kiziangalia TV zetu local, lazima uwe na vingamuzi 4, hapo bado hujajumlisha kingamuzi cha DSTV na kile cha mchina cha Easy TV, jumla vingamuzi 6!.
 
Pasco
Multiplex operators wapo watatu:Star Media,Agape Associates na Basic Transmission Limited.
 
Haya mambo ya bongo mie yamenifika utocini. Hili suala la kila kituo cha television kuwa na king’amuzi chake imekaaje..? leo kama unataka kuangalia vituo vitatu tofauti vya luninga inabidi uwe na ving’amuzi vtatu tofauti.. ukitaka kuangalia ATN inabidi uwe na king’amuzi cha Ting.. ukitaka kuangalia TBC inabidi uwe na king’amuzi cha Star media.. ukitaka kuangalia ZUKU inabidi uwe na king’amuzi cha Zuku.. ving’amuzi hivi bei yake imeenda shule.. minimum price ni shs 100,000/=.. kulipia kwa mwezi hivyo vingine cielewi bt kwa Star media najua unalipa 18,000/=.. kwa hiyo ili kuweza kupata hizo station 3 inabidi utoe c chini ya shs 300,000.00 za kitanzania kwa ajili ya ving’amuzi vitatu.. kisha utafute hela ya kulipa kwa mwezi ambayo kwa hesabu ya chini ni shs. 30,000.00 kwa mwezi..
Sasa swali kwa TCRA mkiwa kama ndo regulator.. kwanini wacingeamua kuwa na kampuni moja 2 ya kuhucika na urushaji wa matangazo toka kwenye vituo vya luninga tofauti..? hivi kweli wananchi (mie namba moja) tutaweza kweli kumudu gharama za kununua ving’amuzi zaidi ya kimoja..? halafu ki2 kingine kweli hii kazi ya kuchomoa na kuchomeka waya wakati unataka kubadilisha station nyingine ya kwenye king’amuzi kingine.. inatustahili..?

Kama kuna staff wa TCRA humu naomba anijuze au ndo ule msemo tena kama huna hata kidogo kitachukuliwa..?

TCRA you are serious for this matter...acheni tabia za kifisadi katika kutoa vibali vya RUNINGA
 
mie hadi sasa nina ving'amuzi vya DSTV, TING, StarTimes na Easy TV, Nasubiri mwisho wa mwezi nikanunue ZUKU then ikija ya ITV na Star TV nayo nitatia sebuleni. Nahisi TCRA wanahitaji kuombewa maana wanaongozwa na mapepo kichwani, si BURE!!!!!!!
 
Kununua luninga tu ni kazi kweli kweli. Hicho king'amuzi si ndio itakuwa balaa! Na tena kulipia kwa mwezi ndio balaa zaidi. Ni bora analog kuliko digital kwa mtaji huu! Huu umaskini ni mbaya sana. Inabidi tuwe tunaangalia mikanda ya filamu tu kama wakati ule hakuna local tv channels!
 
Hapo vingamuzi sita (ndani) + madish 6 (juu ya paa) + antena za balbu/sufuria (hizi zipo sana uswahilini kwa ajili ya local channels), mgeni akija kwako akiangalia juu ya paa then akaingia ndani atajua umekuwa fundi vingamuzi a.k.a fundi madishi. Hivi hawa TCRA kweli wapo ofisini na wanalipwa mshahara kwa kazi gani? Hivi hakuna teknolojia ya kuunganisha hizi station tuwe tu tunabadilisha smart cards kama ilivyo kwa simu. Hata ikiwa tu teknolojia ya kichina poa tu.
 
Sebuleni pamejaa ving'amuzi imebidi nivitengenezee meza yake spesheli ,nje kwenye paa kuna madishi kama vile ni commanding post ya Alshaabab
 
jamani kwani hakuna kuchakachua kama tunavyochakachua tanesco,dawasco na romatic? kama uwezekano upo basi tuwaache waje ila kama hakuna uwezekano tuandamane wajameni
 
TATIZO NIKUPOKEA KILAKITU KAMA TUNAVYOLETEWA HATUNA NAFASI YAKUFIKIRI KUHOJI WALA KUTAKA KUJUA NCHI HII ITAJAZWA KILA AINA YA TAKATA SIMNAKUMBUKA ILE WORLD CUP YA SOUTH 2010 TULIVYOAMBIWA KUWA BILA TBC HUTAONA HIYO WORLD CUP MATOKEO YAKE YALIKUWAJE HATA ANTENA ZA SUFURIA TULIIONA WAKATI WANANCHI WENGINE WALITUMIA PESA KIBAO KUBADILISHA MADISH jamani mbona nchi yetu imejaa usanii kila pembe ??????????? hebu 2015 tubadilshe mfumo wetu wa utawala tuanje na KATIBA
 
Eleza kitu cha kueleweka tafadhali,wewe uko wapi na source ya habari yako pia,maana wengine bado tuko na antenna tu na mambo safi.
Tuhabarishe kama ni habari rasmi na inaanza lini hiyo sheria?

kaka hii ni old news.. watu wanaendelea kutumia ving'amuzi na wanalipa tofauti.. ilishaanza mbona.. mwisho wa kutumia antenna za kawaida ni tarehe 31.12.2012 saa sita kasoro dakika moja uciku..! na ndo maana nimeomba TCRA japo waone noma na kutuonea huruma walala hoi..
 
Eleza kitu cha kueleweka tafadhali,wewe uko wapi na source ya habari yako pia,maana wengine bado tuko na antenna tu na mambo safi.
Tuhabarishe kama ni habari rasmi na inaanza lini hiyo sheria?

yaan we mwananchi wa kawaida huangalii wala kuskiliza taarifa za habari? haya mambo yameongelewa sana na deadline ya kutumia analog ni december 2012. source: taarifa za habari itv na tbc tarehe 23 feb 2012
 
Back
Top Bottom