TCRA Inawahujumu Waislam

Status
Not open for further replies.
unalalamika sana wewe, yaani kama kitoto kinachodeka, hakuna muislam anayelialia unavyolia wewe, MICHANGO ndo ilikuwa hoja yako, period
 
TCRA inaendeleza hujuma
dhidi ya waislam
nchini,kwani kumekuwa na
tabia ya kuvibana vyombo vya
habari vya kiislam nchini
Tanzania.Mara nyingi imekuwa ni ngumu kupata
kibali cha kuanzisha chombo
cha habari cha kiislam.
Safari hii imekuwa kwa
radio ya IQRA 100.0 FM ya jijini Mwanza ambayo bado ni
mpya.TCRA wameamrisha
redio hiyo iliyopo katika jengo
la CCM kuhama kitu ambacho
kimetufanya wadau kujiuliza
maswali mengi ya kwanini radio Iqra ihame jengo la CCM?
Wakati huo huo radio clouds
wapo hapo hata kabla ya Iqra
fm,pia kuna radio passion
fm.Swali ni kuwa radio zote
hizi mbili zimekuwepo kwenye jengo hilo la CCM kwa
muda mrefu,lakini radio IQRA
ambayo hata mwaka
haijafikisha imeamuliwa
kuondoka kwenye jengo hilo
kuna nini? Ndani ya wakati huu radio
inasaka mahali pa kuhamia
japo haikushindwa kulipa kodi
ya pango,na hata kama radio
ikishindwa kulipa pango TCRA
wanahusikaje? Hizi ni fitna! Tumshukuru ALLAH kwa kuwa
radio imepata kiwanja
katikati ya jiji na mpango
uliopo ni kujenga jengo
kwaajili ya shughuli zoteza
radio.Ewe ndugu Muislam ili kuepuka adha hizi unaombwa
kwa hali na mali kutoa
mchango wako
fedha,nondo,mabati,cement na
vifaa vinginevyo vya
ujenzi.Changia kwa M-Pesa 0753-885263 Kama upo Mwanza unaweza
kupeleka mchango wako pale
studio jengo la CCM. Haya
shime Waislam huu ndio
wakati wa kuamka,tusizilalie
mali zetu.tujitahidi ili tujikomboe ili tusinyayasike.
Na muache fitna kwani ni dhambi kubwa pia jitahidini kuzikomboa fikra zenu mgando ni ushauri tu msijenge chuki.
 
Tunanyanyasika mara TCRA mara jengo la ccm: mwisho mwenye mabati,nondo,cement na mchango kwa Mpesa, kuomba michango kwa kufanya uchochezi ni kawaida yenu kila mtu anawaonea nyinyi tu.
 
Hawa Jamaa wana inferior complex,nani kawaonea? Weka sababu mbona umekimbia? TCRA sio wajinga,msipende kulalamika tu kama unahitaji michango nenda straight kwenye point na si kuunza kutafuta huruma ya waislamu wenzako,stukeni acheni kulalamika tu mda wote na sie tungekua kama nyinyi tusingefika hapa,ushawahi msikia mkristo analalamika kwa nini rais na makamu wake wote ni waislamu? lkn wangekua wakristo waislamu lazima wangelalamika,acheni kulalamika kabilianeni na tatizo kama mmeambiwa muame,hameni jengeni la kwenu.
 
mitu mingine bwana udini umewajaa mpaka kwenye ubongo,sasa sijui unataka mchango au unaonyesha mnaonewa?
 
Nyie Waislam wa dizaini hii kuna siku mtalalamika mungu anawaonea kwa sababu nyie ni waislam....
 
TCRA inaendeleza hujuma
dhidi ya waislam
nchini,kwani kumekuwa na
tabia ya kuvibana vyombo vya
habari vya kiislam nchini
Tanzania.Mara nyingi imekuwa ni ngumu kupata
kibali cha kuanzisha chombo
cha habari cha kiislam.
Safari hii imekuwa kwa
radio ya IQRA 100.0 FM ya jijini Mwanza ambayo bado ni
mpya.TCRA wameamrisha
redio hiyo iliyopo katika jengo
la CCM kuhama kitu ambacho
kimetufanya wadau kujiuliza
maswali mengi ya kwanini radio Iqra ihame jengo la CCM?
Wakati huo huo radio clouds
wapo hapo hata kabla ya Iqra
fm,pia kuna radio passion
fm.Swali ni kuwa radio zote
hizi mbili zimekuwepo kwenye jengo hilo la CCM kwa
muda mrefu,lakini radio IQRA
ambayo hata mwaka
haijafikisha imeamuliwa
kuondoka kwenye jengo hilo
kuna nini? Ndani ya wakati huu radio
inasaka mahali pa kuhamia
japo haikushindwa kulipa kodi
ya pango,na hata kama radio
ikishindwa kulipa pango TCRA
wanahusikaje? Hizi ni fitna! Tumshukuru ALLAH kwa kuwa
radio imepata kiwanja
katikati ya jiji na mpango
uliopo ni kujenga jengo
kwaajili ya shughuli zoteza
radio.Ewe ndugu Muislam ili kuepuka adha hizi unaombwa
kwa hali na mali kutoa
mchango wako
fedha,nondo,mabati,cement na
vifaa vinginevyo vya
ujenzi.Changia kwa M-Pesa 0753-885263 Kama upo Mwanza unaweza
kupeleka mchango wako pale
studio jengo la CCM. Haya
shime Waislam huu ndio
wakati wa kuamka,tusizilalie
mali zetu.tujitahidi ili tujikomboe ili tusinyayasike.

Mambo mengine bana,naomba nikuulize swali kwani hapo mlipangishwa na TCRA au CCM?na je wamevunja mkataba wenu au uliisha?
 
Hii ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa waislam wenye kujua maana.
Propaganda ya kutafuta sympathy ya jamii, propaganda ya lawama bila kutoa 'sababu' za kuwa advised kutoka kwenye jengo hilo. This is a disgrace to the muslim community.
 
Wakati unaaandika hi thread ulikuwa umeshkiiwa mtutu wa bunduki. inaonyesha mleta mada hata hujui nini ulichobandika.
 
Lengo lake ni kuomba mchango wa ujenzi, sio kuwa Muslims wanakandamizwa
malalamiko yote aliyoweka ni geresha tu. Angalia jinsi alivyohitimisha post yake
anaomba mchango wa ujenzi.

Tuwe wastaarabu, asingizie TCRA
 
i wounder why hizi Radio zinachumia tumbo kwa ccm, kumbe zipo kwenye jengo la wananchi lililoibiwa na CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom