TCRA inafanya kazi gani hasa? Voda, Tigo na bando zetu

gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,344
3,604
Nilikuwa najiunga vifurushi vya internet kwa miezi mitatu ili kuondoa usumbufu na nina imani wengi wetu walikua wanafanya hivyo pia, but jambo lililonisikitisha ni juzi baada ya kutaka kujiunga tena bei nilizozikuta nahisi ni pasua kichwa kwa wengi wetu na nashangaa TCRA kukaa kimya kazi kushabikia siasa zisizowahusu.

See below:

Tigo
400mb 3,000
800mb 5,000
2Gb 8000

Vifurushi vya mwezi
2.5Gb 15,000
5Gb 25,000
10Gb 35,000
30,Gb 95,000

Vodacom
Vifurushi vya wiki
15,000 12Gb
8000 3Gb
4000 1Gb
2000 500Mb
1000 200Mb

Vifurushi vya mwezi
80000 80Gb
50000 40Gb
35000 15Gb
25000 5Gb
15000 2Gb

Look closely guys this is stupid aisee tena hususani kipindi hichi cha 4G. How come u sell that high while duniani kote internet is becoming cheaper and cheaper?

The funny thing is hawa TCRA wht are they doing about it because this is the second time this is happening or is just okay sababu tunayeumia ni sisi wa chini??

Hii nchi hii dah but serious what the hell is going on?
 
Hii ndio serikali ya wanyonge katika ubora wake. Hata zile bei za kutuma pesa kwani ilikuwaje ni hivi hivi na jamaa wame pass kwa end user. Bongo uzuri wake ukipandisha nauli wanatembea kwa mguu siku mbili halafu wanarudi kama kawaida. Na internet itakuwa hivyohivyo.

Sukari ilikuwa vile vile ha ha haaaaaa mayonene!!! Hapo kwenye internet kulikuwa na mradi mmoja mkubwa sana wa world bank kusaidia kupanua wigo wa access ya internet na kushusha bei lakini matokeo yake inapanda
 
Ebana gharama ni kubwa sana. Ivi dial code ya kupata hiyo menu ya Internet Vodacom napigaje?
 
Ukitaka attention ya TCRA weka heading kubwa ya tusi juu ya mkulu mkulu tofauti na hapo hawajali chochote.
 
sielewagi kwann watanzania tunakua na akili za kijinga hv
yaan tunaona kitu kibovu na bado tunachukulia poa
juzi nimeskia tcra wamawapiga faini itv kisa msigwa kamtukana naibu spika
i was like hv kweli ni kazi yao hii but anyway
hili nalo lina wiki n they havent say a thing
like serious how can we afford that
 
Back
Top Bottom