Tcaa(tanzania civil aviation authority) aibu gani hii??mama munyagi unalijua hili??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Ndugu wapendwa
Kwako mama MUNYAGI kila mtu anathamani kazi yako uchapakazi wako na uadilifu wako
lakini pengine hili yawezxekana ulijui ama kuna wachafuzi hapo TCAA wanakuchafulia kazi
zako.
Kuna chuo kinajiita TANZANIA AVIATION TRAINING COLLEGE Kipo hapo Tazara
mpendwa mama Munyagi chuo hiki kinatoa elimu ya mambo ya ndege na kina miaka zaidi ya miwili sasa
kwa masikitiko makubwa chuo hiki akijasajaliwa na NECTA wala TCAA kuwapitisha kama chuo.

Cha ajabu wanafunzi wengi wametoka huku wamekuwa wakipata license ya FOO na nyingine nyingi hapo kwako TCAA. Je huu ndio muamko wa TCAA kuwapasisha watu wasiosajiliwa.


Kibaya zaidi chuo hiki wanatoza in dollars ..eg ffo course usd 3000 wakati viko vingi airport ..na kibaya zaidi mwenye chuo amekuwa akiwataka wahitimu kimapenzi na kuahidi kutowapa vyeti vyao mpaka wafanye nao mapenzi.


Nafikiri huu si ustaarabu na malalamikomhaya yametolewa hapo kwako nakuishia kwenye makabati huku wengine wakipigwa mikwara watanyanganywa leseni walizopata na baadhi ya wafaanyakazi wako...nafikiri ni muhimu tuwe makini kuliko kuangalia fedha kwanza ...walipofwatilia TCAA wakakuta awajasajiliwa na walipoulizwa kwa nini ameruhusiwa kutoa vyeti na kufundisha wakadai ameonyesha interes ya kujisajili

najua kila mtu anakula jikoni mwake lakini tunaomba hivi vyuo vifuatiliwe mtatoa watu warusha ndege wakaishia kumwaga ndege zetu KIPAWA afashali hata wameamishwa sasa hivi.

Dear mama ni masikitiko yangu hivi sasa jamaa wamebadika jina la TANZANIA AVIATION UNIVERSITY COLLEGE je TSU mnajua hili tunaomba tuwe serious na kazi za watu ...na je ni sheria gani kufwata mhitimiu ukifaulu na ukakatiliwa cheti kisa kutoa %^&^^&*???msaada tafadhali
 
Ukimfwatilia sana mwenye chuo anasema hakuna wa kumtisha na mnakotaka kwenda nendeni baya zaidi kamtaja mzee wetu Bakari Mwapachu akisema kama amumjui mwapachu vizuri nendeni kama ajawapeleka nyie kwanza mahakamani..???

Huu ni wizi na kuna connection na watu wa TCAA aiwezekani akawa anajitapa hivi ..je TCAA mmegeuka na nyie mtaji jamani??elimu za ndege zitafika kwa style hii
 
Kama usemavyo, Mama Munyagi asingeruhusu hata chembe uchafu wa namna hii. Labda ukufahamu hili; Mama Magreth Munyagi AMEKWISHA STAAFU TCAA!
 
Mbona mada haina mbele wal nyuma.
Be concise ili ujumbe ufike pale panapostahili
andika
Jina la Chuo
Mmiliki
Chuo kilipo
Kiliposajiliwa
nk..
 
kama usemavyo, mama munyagi asingeruhusu hata chembe uchafu wa namna hii. Labda ukufahamu hili; mama magreth munyagi amekwisha staafu tcaa!


ooohhh ndio maana TCAA imeanza kuchafuka aikuwa\ hivi kabisa yule mama akutaka ujinga hata uzaliwe nae kwenye swala la kazi
 
Ndugu wapendwa
Kwako mama MUNYAGI kila mtu anathamani kazi yako uchapakazi wako na uadilifu wako
lakini pengine hili yawezxekana ulijui ama kuna wachafuzi hapo TCAA wanakuchafulia kazi
zako
Kuna chuo kinajiita TANZANIA AVIATION TRAINING COLLEGE Kiko hapo tazara
mpendwa mama munyagi chuo hiki kinatoa elimu ya mambo ya ndege na kina miaka zaidi ya miwili sasa
kwa masikitiko makubwa chuo hiki akijasajaliwa na NECTA wala TCAA kuwapitisha kama chuo cha ajabu wanafunzi wengi wametoka huku wamekuwa wakipata license ya FOO na nyingine nyingi hapo kwako TCAA
Je huu ndio muwamko wa TCAA kuwapasisha watu wasiosajiliwa..kibaya zaidi chuo hiki wanatoza in dollers ..eg ffo course usd 3000 wakati viko vingi airport ..na kibaya zaidi mwenye chuo amekuwa akiwataka wahitimi kimapenzi na kungangania kutowapa vyeti vyao mpaka watoe nnnnya
nafikiri huu si ustaarabu na malalamikomhaya yametolewa hapo kwako nakuishia kwenye makabati huku wengine wakipigwa mikwara watanyanganywa leseni walizopata na baadhi ya wafaanyakazi wako...nafikiri ni muhimu tuwe makini kuliko kuangalia fedha kwanza ...walipofwatilia TCAA wakakuta awajasajiliwa na walipoulizwa kwa nini ameruhusiwa kutoa vyeti na kufundisha wakadai ameonyesha interes ya kujisajili
najua kila mtu anakula jikoni mwake lakini tunaomba hivi vyuo vifuatiliwe mtatoa watu warusha ndege wakaishia kumwaga ndege zetu KIPAWA afashali hata wameamishwa sasa hivi....
Dear mama ni masikitiko yangu hivi sasa jamaa wamebadika jina la TANZANIA AVIATION UNIVERSITY COLLEGE je TSU mnajua hili tunaomba tuwe serious na kazi za watu ...na je ni sheria gani kufwata mhitimiu ukifaulu na ukakatiliwa cheti kisa kutoa %^&^^&*???msaada tafadhali

Nimeshindwa kuelewa vema somo hili, Mfalila, please put some punctuation marks properly!
Nashindwa kuelewa sentensi imeanzia wapi na kuishia wapi.
 
Ukimfwatilia sana mwenye chuo anasema akuna wa kumtisha na mnakotaka kwenda nendeni baya zaidi kamtaja mzee wetu bakari mwapachu akisema kama amumjui mwapachu vizuri k=nendeni kama ajawapeleka nyie kwanza mahakamani..???huu ni wizi na kuna connection na watu wa tcaa aiwezekani akawa anajitapa hivi ..je tcaa mmegeuka na nyie mtaji jamani??elimu za ndege zitafika kwa style hii

Mfalila hii uliandikia Kwankjeka nini?:ballchain:
 

OMG, ..Hata mimi sina taarifa hizi za kustaafu Mama Munyagi, unless kama ni mwingine na si DG-TCAA!
Man dont copy from the blues eeh!

Lkn pia Bwana MFALILA umeandika kama vile unafukuzwa, unaonyesha una kitu chenye mantiki, lakini presentation yako mbofumbofu!
 
OMG, ..Hata mimi sina taarifa hizi za kustaafu Mama Munyagi, unless kama ni mwingine na si DG-TCAA!
Man dont copy from the blues eeh!

Lkn pia Bwana MFALILA umeandika kama vile unafukuzwa, unaonyesha una kitu chenye mantiki, lakini presentation yako mbofumbofu!

wakwetu....mama hawezi kustaafu kimya kimya bana....khaa!!
 
Back
Top Bottom