TBS to sign contract with three agencies to inspect goods in countries of origin

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
219
TBS.jpg

Tanzania Bureau of Standards


The Tanzania Bureau of Standards (TBS) has said it will soon sign a contract with three international inspection agencies to inspect goods in the countries of origin before they are cleared to enter in Tanzania.

Speaking to this paper at the Dar es Salaam International Trade Fair on Tuesday, TBS Public Relations Officer, Roida Andusamile, said the move was part of the government’s efforts to fight against importation of substandard goods.

She said under the contract the agencies would have the powers to inspect all goods before entering the country. “Substandard goods will not be allowed to enter the country,” she said.

She however, declined to name the agencies, but said the move would bar importation of fake goods which, if not checked, would kill local industries.

SOURCE: THE GUARDIAN
-----------------------------------------------
Kwanini hao TBS wasikague vitu hapa TZ na kutoa ajira kwa vijana wa TZ ambao hawana kazi, hao vijana watalipa kodi na watatumia hela yao TZ

Je vikikaguliwa nje ya nchi inamaanisha vikifika TZ havitakaguliwa tena??
hao hao china mnawalalmikia kwa vitu vibovu, halafu mnawaambia wakague vitu kwao vikifika TZ vipite tu, Je kuna uwakika gani kama hao watu watafanya kazi vizuri???

"government’s efforts to fight against importation of substandard goods". kama kweli hizi ndio jitihada za serikali basi kweli serikali tunayo.

Inernational agencies lakini amekataa kutaja majina ya hizo agencies au ndio kampuni za watawala za nje ya nchi?????
 
Hapa moja kwa moja nazifikiria kampuni kubwakubwa kama Humber Internatinal Inspection Company ambao wana ofisi karibia kila kona na dunia na hata pale Nairobi na Cape Town na kampuni ya Cotecna International Inspection Company kuchukua hio "deal".

Haya ndio mambo ambayo kila siku yataendela kuturudisha nyuma. Kwanini watanzania wasipewe nafasi kwa hao TBC kuwa na mwakilishi mtanzania katika kitengo ubalozini?
 
Last edited:
Hapa moja kwa moja nazifikiria kampuni kubwakubwa kama Humber Internatinal Inspection Company ambao wana ofisi karibia kila kona na dunia na hata pale Nairobi na Cape Town na kampuni ya Cotecna International Inspection Company kuchukua hio "deal".

Haya ndio mambo ambayo kila siku yataendela kuturudisha nyuma. Kwanini watanzania wasipewe nafasi kwa hao TBC kuwa na mwakilishi mtanzania katika kitengo ubalozini?

Jaribu kufikiria kuwa hawajajifikiria wao kwanza? kwanini anakataa kutaja kampuni husika? subiri uone utakuta ni mtu/kigogo kajitupia tonge kupitia kampuni aliyofungua/ au aliyowekeza share kubwa na hayo makampuni zoefu uliyoyataja kamwe hayatapata Tender hiyo, wee subiri utasikia tu
 
labda hawana vitendea kazi au ni wavinu wa kufanya kazi 247/7 mpaka kwa maagizo ya Riasi...

Labda pia wanataka kurahisisha goods clearance pale bandarini maana inaweza kuchukua zaidi ya siku 21 kabla mzigo wako haujatoka bandarini...

Hili likiwezekana litapunguza asi ajira bali hata mapato ya serikali kwa maana ya kwamba hao wakaguzi wa nje hawatafanya kazi bila malipo...
sijui wajibu wa TBS utakuwa ni ni sasa kama wanataka ku-outsource kazi zao...
 
Kwanza tuambiwe Institutions zinazo deal na hili swala kama zilivyopo hapa Tanzania zimeshindwa vipi na sababu ni zipi?!

Huu uundaji au kuuingia ubia na vyombo vingine ni sawasawa tu na mambo ya kutengeneza tume moja baada ya tume nyingine kwenye mambo ya ubadhirifu ndani ya serikali kuu.

Wavunje chombo/vyombo vilivyopo sasa hivi na kuwawajibisha walioshindwa kumudu utekelezaji wa majukumu yao kabla hawajaanza kuunda vyombo vingine vipya kutekeleza swala hilo hilo.
 
Back
Top Bottom